La Guerra della Secchia Rapita
.
.
.
.
Ndoo fulani ivi ya miaka mingi nyuma sana ambayo imetumiwa na vizazi vya kale.
Katika nchi ya Italy ndoo kama hii ilileta vita kubwa enzi hizo na kusababisha vifo na maafa makubwa.
#UZI#THREAD ๐๐พ
VITA AKILI
Vita ikapiganwa na ikaitwa "Vita ya Zappolino" ambapo damu zilivuja sana, mikuki yakutosha, mishale, farasi na askari wa mikuu hakika kiliwaka sana japokuwa katika mazingira yakusikitisha Bolgona walipigika mno na jeshi lao kubwa na wakaacha ndoo mjini Modena ๐๏ธ
๐๐พ
๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐
.
.
.
Mwaka 1966 ndipo familia ya Bwana Nishimura ilipokea binti yao mpendwa ndani ya mji uitwao Aichi Prefecture nchini Japan.
โฌ๏ธ
#UZI#THREAD
Kuwa raia wema mtaani na kuweza kuchangamana tena na jamii.
> Na huu ni uchache juu ya maisha ya binti mtukutu toka mtaani mpaka kujiunga na genge kubwa la Yakuza na kupanda ngazi za juu kabisa kiutawala.
MWISHO.
As we conclude the year 2025, we thank Allah ๏ทป for His countless blessings and for guiding us through every challenge. May He forgive our shortcomings, accept our efforts, and grant us a future filled with faith, patience, and success. Ameen.
2025 What a year to remember ๐๐พ