Mwanadamu akiwa na njaa ndio huwa anapata akili nyingi sana lkn njaa ikiisha anajisahau sana na hata kusahau wale waliompa chakula kipindi cha njaa yake
#KIVO@AAM@JrMambo1
Wakati wewe unasubiri kuanza kuna watu ambao wanauwezo mdogo, mtaji mdogo kuliko wewe na wameshaanza kupiga hatua lakini wewe unasubiri uwe na kila kitu
Hatua moja huanza nyingine
Lifti huwapata walioko njiani sio nyumbani kwenye sofa
#AAM@JrMambo1@FanGamer91
Furaha yako isiwe kwenye kupata kila siku kuna kukosa pia sio kila siku utapata siku ukikosa furahia tu kama ulivyo furahi siku ile uliyopata maana utapata tena
#AAM@JrMambo1@SimbaSCTanzania
Hakuna mwanamke atakayekupenda wakati humuheshimu na hakuna mwanamke atakayekuvumilia wakati humjali iko ivo...upendo huwa haununuliwi yanayonunuliwa ni mapenzi
#AAM@JrMambo1@FanGamer91@MamaRachelRuto
Kutajirika hakutokufanya wewe usile kwa jasho kwa sababu aliyekupa utajiri ndiye aliyekuambia utakula kwa jasho.Isifike mahali ukaacha kupambania ugali wako.
@JrMambo1