@azamfc ina sera nzuri sana ya usajili, mseto kati ya utambuzi wa vipaji kutoka nchi mbalimbali ulimwenguni na ukizaji wa vipaji kutoka Chamazi umekua na mafanikio makubwa. Je ni timu ipi ya @NBCPremierLeag haina mchezaji aliye wahi kupita @azamfc?
Pili kuajiri mtaalamu wa saikolojia ya wachezaji hasa katika kipindi hiki cha uwepo wa mitandao ya kijamii, kushuka kiwango cha wachezaji katika mechi moja kunaweza kuua uwezo wa mchezaji jumla.
Tatu na mwisho ni viongozi kua karibu na wachezaji kuongeza mshawasha katika timu.
Ukiachana na matatizi ya kufikirika mabayo @SimbaSCTanzania timu ya @FKihamu nayo mithali yake mwekezaji kuto timiza majukumu yake ipaswavyo, viongozi kuboronga katika sajili, usimamizi wa timu na uwezo wa wachezaji.
Yapo matatizo dhahiri ambayo hakuna mtu ayazungumziayo.
Mpangilio huo sio kwa umuhimu, ila timu inapaswa ifanye yafuatayo kujinusuru.
Mosi ni kubakisha na kuboresha benchi la ufundi kwa kuongeza wataalamu kama, wataalamu wa mipira ya kutenga, makocha wataalamu wa viungo, mabeki, wachambuzi wa mchezo n.k.
@OfficialAliKiba 1. Run Dunia
2. Utu
3. Dushelele
4. Lupela
5. Mshumaa
6. Msiniseme
7. Bwana Mdogo
8. Karim
9. Mc Muga
10. Mwana
11. Mahaba
12. Yalaiti
13. Maumivu per Day
14. Sumu
15. Mvumo wa Radi
16. Hadithi
17. Cinderella
18. Chekecha Cheketua
19. Kadogo
20. Seduce Me