“Hakikisha unaweka utaratibu wa watoto wakiamka asubuhi wanaanza siku kwa kujuliana hali kabla hawajaendelea na michezo au kwenda shule. Wewe pia mzazi walazimike kukusalimia kujua umeamkaje ndio mambo yao mengine yaendelee.”
“Ukifanikiwa hilo, familia kusalimiana inakuwa sehemu ya shughuli za msingi kukamilisha siku. Ukubwani, mambo mengine yakiwa sawa, watoto wasiposalimiana kuna kitu muhimu watahisi kinapungua—kusalimiana familia inakuwa tabia isiyohitaji kukumbushana.”
I urge Heads of State and the leaders of nations to listen to the cry of the poorest. There can be no peace without justice. The poor remind us of this in many ways, through migration as well as through their cries, which are often stifled by the myth of well-being and progress, which does not take everyone into account.
Kwenye hizi nyakati za mashaka, Please remove Fingerprints/Face Lock kwenye simu zenu, weka password au PIN, mtu yotote anaweza ku unlock Face/Fingerprint kwenye simu yako ukiwa unconscious/kupoteza-fahamu, na extract any information
Please spread the awareness ⚠️
@jbrzy95__
As the most elite demographic in history, building governments around fear, intimidation, and propaganda has become irrelevant
The only approach to this relentless generation of elites is through ukweli, good governance & integrity. They no longer choose parties but truth!
Governments in Africa must know these 3 rules.
1. The most educated and elite segment of their population is under 35
2. Despite their potential, they receive the smallest share of their national cake
3. They harbor grievances and may one day rebel and be ungovernable.
DONT PRAY FOR TANZANIA… FIGHT FOR IT!
Hakuna Mtu perfect, na ni kweli baadhi ya Walioandamana walifanya uharibifu wa Mali (kutokana na hasira/ghadhabu), ila hiyo haiwapi DHAMANA Watawala kuwaua. Hata Mwizi au Jambazi anakamatwa na anapelekwa MAHAKAMANI. Hata Wauwaji nao huwa hawauwawi by VIGILANTE STREET JUSTICE. Now imagine sisi Watoto wasio na silaha wameuwawa, wakiwa kwenye harakati za kudai “A better Tomorrow” yao!
Sasa Socialites, Celebrities, Influencers na hata Wananchi wengine wa kawaida, tunakuja na Caption na Hashtags za PRAY FOR TANZANIA, as if it is a social media trend.
Ni dhahiri HAKI ZA KIBINADAMU zimekiukwa, KATIBA imebagazwa na RULES OF ENGAGEMENT (baina ya Armed Forced na Civilians) zimepuuzwa.
Hakuna playbook yeyote duniani inayo justify such atrocities & inhumane acts; kama ipo basi ni Playbook ya Kigaidi na Kidikteta! PERIOD
WATANZANIA WOTE, badala ya kuandika “Pray For Tanzania”, let us FIGHT FOR TANZANIA!!
FIGHT FOR GEN Z walioandamana kudai Reforms, Katiba Mpya, Kupinga Utekaji, Utawala Bora, nk. na wakaishia kuumizwa na kuuwawa.
FIGHT FOR JUSTICE ya Waliokuwa Nyumbani, kwenye Vibanda Vya Video, Madukani, Maskani, nk Wakaishia kumiminiwa risasi pasi na hatia yeyote na kupokwa haki yao ya kuishi.
FIGHT FOR JUSTICE ya DAFROZA (Mama Frank) Mgombea udiwani Sirari (ACT) aliyefia Mikononi Mwa Polisi.
FIGHT FOR JUSTICE ya watoa huduma ya Afya ambao wakitoka hospitali kuhudumia Majeraha, wakauwawa!!
FIGHT FOR RIGHT yetu ya kupata Internet na Mawasiliano, maana internet dunia ya sasa ni utility kama Maji, Umeme, etc.
FIGHT FOR RIGHT za Vyombo vya Habari, ili vitupatie “NEWS WITHOUT FEAR OR FAVOR”
Mambo ya PRAY tuwaachie watu wa nchi zingine sisi WE HAVE TO FIGHT! DAMU ZA MAREHEMU NA ZA WALIOJERUHIWA ZISIENDE BURE…
The Leader
Mama zetu enzi hizo wakisikia unalia huko nje, walikuita na kutaka kujua nini kimekusibu. Kwikwi sana lakini unajua nafasi ndio hii ya kucheua maumivu. Unalalamika. Unasemea wenzako. Unashitaki. Mama mwema angesema, “Pole” na kukunyooshea kiganja chake, “Tema puu nikamchape.” Kesi inaishi hapo.
Wazazi wetu hawakusoma mambo ya ‘empathy’ lakini walielewa mama ndiye mtu wa kwanza kuonesha utu kwa mwanae anayepitia misukosuko ya kihisia. Mama alikujua anawajibika kuelewa malalamiko ya mtoto, kuonesha anamhurumia na ndiye mfariji wake nyakazi za maumivu.
Kesho yake ilikuwa ukichokozwa huko michezoni, ukatokea mtafaruku, ulijua ukikimbilia kwa mama atakuelewa. Imani uliyonayo kwa mama iliondoa haja ya kugombana na wenzako. Tulikimbilia kwa mama zetu.
Tuliogopa sana vile vijamaa vilivyolelewa na mama asiyejua kusema hata pole. Hawa walikuwa wakikimbilia kwa mama zao waligeuziwa kibao, “Unapigwa? Wewe ulikuwa wapi? Hebu niondokee hapa!” Hawa jamaa walikuwa wakatili sana kwenye michezo. Ukipishana naye kidogo anamalizana na wewe pale pale maana anajua kukushitaki kwa mama yake ni kupoteza muda.
Hatari sana kuwa mzazi usiye na uwezo wa kumfundisha mwanao utu kwa vitendo lakini anajua kumbebesha lawama kwa kuamua kushughulikia matatizo yake mwenyewe. Utu tunajifunza kwa wazazi wanaojali hisia zetu. Utu tunajifunza kwa wazazi wanaosikiliza maumivu yetu.