@swahilitimes Kimsingi kama alietenda kosa haoni kama ni kosa basi huna haja ya kupokea Ombi la msamaha kutoka kwa mtu mwingine alieona kosa.
Toba hufanywa na mkosajii!
Hii ni moja kati ya nguzo zaidi ya nne zilizovunjika na kuanguka huko Kongwa kata ya Mtanana (katkat ya ndalibo na Nyinila) sijui kama wahusika wamepata taarifa au laah!
Kama hawajapata basi wafike watatue tatizO!
NB:Si kwa Ubaya
Miongo kadhaa siku kama ya leo wazazi wangu waliopewa zawad ya mtoto wa kiume aje apambane na taabu za dunia hatimae aje wasaidia siku zijazo. Ahsante Mungu mapambano yanaendelea
Happy Birthday to me💐🎂!