Hamza hakuhangaika na raia wa kawaida. Alihangaika na Polisi. Akawaua watatu. Na alisikika akisema; Polisi wako wapi?
Ifike mahali tuache kuwatumia Polisi kuchunguza matukio yanayowahusu wao wenyewe.
Taarifa za awali zinadai Bw. Hamza aliyeua Polisi na yeye kuuawa maeneo ya ubalozi wa ufaransa, ni mmoja wa wanafamilo waliodhurumiwa mali na viongiozi wa serikali. Na alishaapa kufanya mauaji.