God can Do or change anything your thoughts can't think for, Anti-Corruption//₩Human right matters//₩Politics and Human affairs(Alute continue)👊👊Praise God!
Kiswahili kinasema, Mtu mwenye mkono mrefu maana yake ni mwizi!,
Wahenga nao wanasema, serikali ina mkono mrefu!, Sijui na wewe umeanza kufikiria kama ninavyofikiria mimi?
@godbless_lema Huu siyo mzaha,huyu ni alama au picha ya muonekano halisi wa CCM,hapa anatumika kiana tu kufikisha ujumbe aliotumwa,kama @ccm_tanzania watakuja na kukanusha maoni yangu basi Mwaipopo atakuwa mikononi mwa @tanpol
@YerickoNyerereT Ukimuona mtoto katika familia anapambania mirathi ya wazazi wake waliopo hai bado huyu ndiyo mshirikina na atakuwa kuwaua muda siyo mrefu.
@HildaNewton21 Nilikuwa najiuliza Mwaipopo na usheikhe wapi na wapi?,Kumbe jamaa baada ya kusikia kuwa akiitwa Saidi atapata wake wanne hapo hapo akakimbilia kupata wamama.
@royalmediatz Yaani ukiona mwenyezi Mungu kakunyima hata kidole kimoja ujue roho yako siyo ya kawaida maana angekupa ukamilifu ungekuwa tatizo kwa jamii.
@MsigwaGerson Upuuzi ule ule ambao huwa mnafanya,hivi kama mnajua hadi mipango hiyo,kwanini msiwakamate hao wahusika moja kwa moja?,nyie tushawazoea hapa mnatafuta namna ya kumpa mtu kesi ya mchongo baada ya kuona mnaumbuka na mambo yenu ya utekaji.
@MariaSTsehai@Eng_Matarra Pamoja na umri Wangu huu mdogo kama Pilton ila sijawahi Ona ama kusikia dhulma imeshinda haki,haki hutawala hata kama itachelewa.
@PMadeleka Siku zote damu huwa haimwachi mtu salama, huyu mama siku hizi anaenda sana kule Bungi Zanzibar kwa Mganga wake lakini mambo bado magumu vilevile.