Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa.
Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume).
Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa;
- Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS) bado yupo ofisini
- Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) bado yupo ofisini
- Wakuu wa Mikoa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa yote husika wapo ofisini
- Wakuu wa Wilaya na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya zote husika wapo ofisini
Hakuna kuwajibika wala kuwajibishwa, halafu Umma ukubali kuwa hii haikuwa kazi ya dola yenyewe kujiandaa kuua watu wake?
The debate over where upcountry buses should operate in Dar es Salaam is becoming less about where buses park and more about how the city can build a transport system that works for passengers, operators and the Government.
https://t.co/nnwlN4ulRD
Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mheshimiwa Jaji Joseph Warioba atakuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano wa Kitaifa kutafakari hali ya kisiasa nchini: Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 na mustakabali wa Taifa tarehe 7 na 8, Septemba 2026 Jijini Dar es Salaam.
https://t.co/yYikKiHoPs
Mfumo wa Bima ya Afya chini ya CCM haufai, ni wa kibaguzi na matabaka: Tathmini ya ACT kuhusu Utekelezaji Ahadi ya Siku 100 za Rais Samia katika Afya,Bima ya Afya kwa Wote".
Dkt. Elizabeth Sanga Waziri Kivuli Afya na Ustawi wa Jamii @ACTBarazaKivuli.
27 Agosti, 2026
Mfumo wa Bima ya Afya chini ya CCM haufai, ni wa kibaguzi na matabaka: Tathmini ya ACT kuhusu Utekelezaji Ahadi ya Siku 100 za Rais Samia katika Afya,Bima ya Afya kwa Wote".
Dkt. Elizabeth Sanga Waziri Kivuli Afya na Ustawi wa Jamii @ACTBarazaKivuli.
@ACTwazalendo
Great to be in Copenhagen for Denmark’s Ambassadors’ Conference and the People’s Gathering, discussing how we can strengthen economic ties between Denmark, Tanzania and Africa. 🇩🇰🇹🇿
"Mfumo wa Bima ya Afya chini ya CCM haufai, ni wa kibaguzi na matabaka: Tathmini ya ACT kuhusu Utekelezaji Ahadi ya Siku 100 za Rais Samia katika Afya,Bima ya Afya kwa Wote". Dkt. Elizabeth Benedict Sanga
Waziri Kivuli Afya na Ustawi wa Jamii
@ACTBarazaKivuli.
27 Agosti, 2026.
The family office of Aliko Dangote, Africa’s richest person, will ramp up operations in 2027 as it prepares to become an investment hub for his companies, according to his daughter Halima Dangote https://t.co/wnHL2jIhoz
Tanzanian Energy Officials Meet ARA Petroleum Tanzania (APT) and Ndovu Resources Amid Notice of Dispute Over Ntorya Gas Development
https://t.co/ROKGV7EEky
"Mfumo wa Bima ya Afya chini ya CCM haufai, ni wa kibaguzi na matabaka: Tathmini ya ACT kuhusu Utekelezaji Ahadi ya Siku 100 za Rais Samia katika Afya,Bima ya Afya kwa Wote". Dkt. Elizabeth Benedict Sanga
Waziri Kivuli Afya na Ustawi wa Jamii
@ACTBarazaKivuli.
27 Agosti, 2026.
"Mfumo wa Bima ya Afya chini ya CCM haufai, ni wa kibaguzi na matabaka: Tathmini ya ACT kuhusu Utekelezaji Ahadi ya Siku 100 za Rais Samia katika Afya,Bima ya Afya kwa Wote".
Dkt. @DrBSAngadi1 Waziri Kivuli Afya na Ustawi wa Jamii @ACTBarazaKivuli.
27 Agosti, 2026
The Tanzania Centre for Democracy (TCD) will hold a two-day national conference in Dar es Salaam next month to discuss the country’s political situation following the 2025 General Election.
https://t.co/icyc4gOsIJ
Out today HOT SEAT, HOT CITY!
An inside look at Mayor @MayorAdler 8 years in the hot seat. Based on pre orders alone, it’s already hit #1 on Amazon's Best Seller list for Local Politics! 📚 Don't miss out.
Kenya and Tanzania are intensifying a quiet contest to position themselves as East Africa’s preferred trade and logistics hub, investing heavily in ports, railways and energy infrastructure aimed at serving regional markets. https://t.co/stKqb46rkZ
Traffic congestion is costing Dar es Salaam’s economy up to Sh7.2 billion a day in lost productivity, according to a joint study by Tanzania Investment and Consultant Group Ltd (TICGL) and the Tanzania Economic Research Institute (Teri).
https://t.co/ZwADYfZzeM
In a move unprecedented for Tanzania, Vice-President Emmanuel Nchimbi has announced he is resigning and will retire from public life at the end of next week less than 10 months after being sworn in. https://t.co/5oIMfmAkrR