Funzo kubwa nililojifunza kuhusu Tanzania ya sasa ni hili: Watanzania wengi wanaonekana kuchoshwa na hali ilivyo na wanatamani mabadiliko.
Katika mazingira kama haya, yeyote atakayejiweka au kuonekana kuwa kikwazo kwa matakwa ya wananchi anajiweka kwenye hatari ya kupoteza uungwaji mkono na uhalali wake wa kisiasa, bila kujali umaarufu wake, nafasi yake au historia yake.
Mungu awalinde na awapiganie!mawimbi baharini yanataisha lakini ndio yanasafirisha Meli
“Much love, my friend—I miss you deeply. You are still one of the finest brains this country has. I’m keeping you in my prayers—may God give you the courage, strength, and resilience to rise above every challenge before you.”
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Toka 29 tuko kwenye vita kali sana ya kisiasa iliyojaa hisia nyingi na uchungu(hadi kukoseana heshima). Tunapoibadili vita hii na kuwa vita ya uchumi binafsi baina yetu vijana tunapoteza direction zaidi na wanufaika ni wachache na wanafurahia(huyu atabet,huyu atafanya hiki but lengo ni hela hakuna ajira tuheshimiane but tuwe kwenye mstari mmoja-kuikomboa nchi),sio kila ukweli lazima usemwe mwingine unauacha watu waje washuhudie wenyewe(binafsi nimejifunza hilo), tupishane mawazo but tusipoteze direction... Kijiti kwenu Gen Z💪
Watanzania, tupo pazuri na tunaelekea pazuri. Najaribu sana kutokuongea too much mambo ya background ila soon mtaona matokeo, cha msingi ni kwamba wooote nchi nzima tuwe focused, hakuna kurelax.