TULIWAONYA SANA KUHUSU HII KESI HAMKUWA WASIKIVU.. SASA MNAELEWA๐
TULIWAONYA sana juu ya hii kesi na jisni mnavyowadharau mawakili wa serikali na kuleta ushabiki wenu humu mitandaoni mkidhani mahakama inaendeshwa kwa kelele za mitandaoni..
HAYA SASA imefika mahali mmeelewa kwa nini tulikuwa tunawapa maonyo kuanzia hii kesi ilipokuwa kule Kisutu na kwa dhati kabisa tuliwaambia kuwa hawa watu wako serious na hii kesi na watamaliza hili tatizo la Chiba "once for all" kwa kuwa ni mtu mshenzi na mropokaji sana na anajiona kuwa mamlaka zinamuogopa na hazina cha kumfanya.
HAYA mashahidi wa Chiba ndiyo hao wamejivuruga vibaya mno kwa maswali ya mawakili wale wale wa serikali mliokuwa mnawadharau na kuwakejeli.. Kuna shahidi mpaka anasema eti sijui kauli ya chiba ilikuwa na maana ya kuwa watapika PILAU๐.. Golugwa ndiyo papai kabisa yaani blah blah nyingi sana akiwa majukwaani lakini kwenye ushahidi wake sijui hata kama anajua alichokuwa anaongea kina madhara kwa shahidi wake..
DOMO KAYA aka HECHE yeye ndiyo kaamua kusema kabida hakusika kauli ya Chiba wakati alikuwepo kwenye kikao na alikuwa pamoja na Chiba..
MAJUMUISHO ya haya yote ni kuwa imefika mahali sasa hii kesi imeshakuwa ngumu sana kwa CHIBA na wanajua kabisa kuwa wenzao hawana utani na wako na mission ya kuhakikisha wana prove hii kesi kuwa Chiba ni mhaini na sheria ishughulike naye.
NI VILE tu wanaongozwa na watu waliokosa akili kama Maria ndiyo maana walitumia muda mwingi sana kufanya propaganda na ujinga badala ya kusimamia kesi hii.. Walianza na upuuzi wa kuwa Chiba ana wanasheria 300 wanamuwakilisha.. Wakaja na upuuzi wa kupika na kula ubwabwa mahakamani kama sehemu ya kuonyesha matumizi ya michango anayochangisha yule Lofa Liberata kule USA.. Sijajua waliishia wapi na mamboyao ya kulishana ubwabwa mahakamani.. WAkaja na ujinga wa kufunga rasta mara sijui documentary mara sijui wanaharakati wa Kenya nao kuingia kwenye hii kesi lakini mwisho wa siku wote wamekwama vibaya sana.
CHIBA anamwita IGP,DCI na CDF mahakamani kama mashahidi wake anatakiwa kujua kuwa hawalazimiki kwenda mahakamani kwenye hii kesi. Yaani wewe kama ni mtuhumiwa na unaita mashahidi kwenye kesi yako kwa ajili ya kujitetea na wasipokuja mahakamani hilo siyo suala la mahakama na mahakama hailazimishi shahidi kuja mahakamani..
TULIWAONYA sana hamkuwa wasikivu mkawa mnajazana ujinga na wanaharakati haya sasa mmefika mahali mmekwama na mmekwama tena.
HALAFU vipi mikutano ya kudai katiba imefikia wapi? Mmechoka? Hivi nyie kama chama kuna kitu mmewahi kufanya kikafika mwisho kabisa na kuonyesha matokeo yake? ๐
#KigogoMediaUpdates
Midweek Top 30 .
โ 1. Aston Villa - Over 0.5
โ 2. Real Madrid - Over 0.5
โ 3. Man city - Over 0.5
โ 4. BVB - Over 0.5
โ 5. Newcastle - Over 0.5
โ 6. West Ham - Over 0.5
โ 7. Hajduk split - Over 0.5
โ 8. Flora Tallin - Over 0.5
โ 9. Nomme Kalju - Over 0.5
โ 10. Ilves - Over 0.5
โ 11. FC Lahti - Over 0.5
โ 12. Barcelona - Over 0.5
โ 13. Arsenal - Over 0.5
โ 14. PSG - Over 0.5
โ 15. Sporting CP - Over 0.5
โ 16. Benfica - Over 0.5
โ 17. Celtic - Over 0.5
โ 18. Chelsea - Over 0.5
โ 19. MSK Zilina - Over 0.5
โ 20. Man Utd - Over 0.5
โ 21. PSV - Over 0.5
โ 22. Roma - Over 0.5
โ 23. Bayern Munich - Over 0.5
โ 24. RB Salzburg - Over 0.5
โ 25. Rennes - Over 0.5
Code ๐ https://t.co/EOdOZC5DmK
โผ๏ธUKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.โผ๏ธ
Shuka na Thread hadi mwisho๐
Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea.
Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti.
Katika maongezi hayo aliniambia kwamba pamoja na kwamba ameachiwa kwa dhamana bado watekaji wa Mafwele wanaendelea kumfuatilia hivyo maisha yake yapo hatarini , nilimwambia achukue tahadhari maana hao watu hawana masihara, akasema anafikiria kuondoka nchini, nikamwambia ni wazo zuri, akaniambia kama kuna Taasisi yoyote ambayo naijua inasaidia watu ambao wanachangamoto kama yake nimuunganishe nayo, nikamwambia hakuna Taasisi yoyote ambayo naijua so tukaishia hapo.
Baada ya siku kadhaa alinipigia simu akaniambia, kwamba yupo mahali nilipo anaomba tuonane, tusalmiane na kufahamiana maana hatujawai kuonana zaidi ya humu mitandaoni, nikamwambia kwasasa siwezi kuonana nae kwasababu za kiusalama, nikamwambia kukiwa shwari nitamtafuta mimi mwenyewe, tukaishia hapo.
Baada ya hapo alimpigia simu @Twaha_Mwaipaya akamuomba waonane, Twaha alinipigia simu kuniuliza kama namfahamu, nilimjibu Mwaipaya kwamba simfahamu zaidi ya kumuona online hivyo Mwaipaya na yeye akamkwepa badae akampigia simu @Sativa255 kumuomba waonane.
Baada ya issue ya Mshabaha kutekwa ndo nikajua kwamba kumbe wakati anawasiliana na mimi kuniambia habari za yeye kuondoka nchini kuna mtu mwingine ambae alimshirikisha huyo mtu ndo alimuunganisha na @lifeofmshaba ili amsaidie kutoka nchini kwasababu alisema vijana wa Mafwele walikuwa bado wanamuwinda.
Alifika Nairobi akapokelewa na @lifeofmshaba na kupelekwa mahali pa kuishi, muda wote alikuwa akidai kwamba anaumwa shingo, kichwa na miguu lakini pia alimwambia Mshabaha vitisho vya Mafwele kusema kwamba atamfira + kuonana na watekaji live ni vitu vilimuumiza sana kisaikolojia hivyo alitafutiwa Mwanasaikolojia lakin alipoambiwa aende Hospital kufanya checkup ili wajue Polisi wamemuumiza kwa kiwango gani ili apatiwe matibabu alikataa.
Muda wote wakati Buyobe yupo Nairobi. Mshabaha alikuwa anakwenda kwake kumjulia hali kutokana na madai ya changamoto yake ya afya alokuwa nayo.
Siku ya tatu, Buyobe alimpigia simu Mshabaha akamjulisha kwamba, nyumban kwake kuna mgeni ambae na yeye kalazimika kukimbia Tanzania kwasababu Mafwele anataka kumuua akaenda mbali zaidi akamdanganya kuwa mgeni huyo ni Mwanachama wa CHADEMA wakati si Mwanachama wa Chadema.
Mshabaha alifika mahali alipokuwa anaishi Buyobe akamkutana huyo mgeni ambae Buyobe alimtambulisha kuwa anaitwa Aidan Msuya ni rafiki ake wa miaka mingi.
Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani.
Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony.
Ili Mshabaha amuamini zaidi Msuya, Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton wakati huo anajua fika kwamba mimi na Msuya hatufahamiani kabisa.
Mshabaha alimwambia kama anamahusiano na Hilda mpigie simu, Msuya akasema hapana itamletea shida, maana amekuja hajajipanga Mafwele amefunga account zake zote za Bank na kama girlfriend wake, akijua yupo Nairobi na akashindwa kumuhudumia itakuwa aibu sana kwake, haya ni maswali walikuwa wanajibu Buyobe na Msuya kwa pamoja na kwasababu walijua wanasema uwongo, wakamuomba Mshabaha asiniambie chochote so Mshabaha akakausha.
Huo ndo ukawa mwanzo wa Mshabaha kumfahamu Msuya ikawa kila akienda kumuona Buyobe anamkuta Msuya kuna wakati walikuwa wanaenda kula pamoja, Mshabaha hakuwa na wasiwasi na Msuya kwasababu ya Utambulisho ambao alipewa na Buyobe, aliamini ni mtu Genuine.
Buyobe akatoa wazo wapate gari maana na hali yake ya kiafya na usalama ni muhimu wakawa na gari, mara wazo likawa linafanyiwa kazi na Msuya.
Part 2 inaendelea hapa ๐
There are places we pass through in lifeโฆ and there are places that become part of who we are.
Manchester will forever be my home.
To the city, the club, and every supporter, my sincerest thank you. These past four years have been unforgettable, filled with moments my family and I will carry with us for the rest of our lives. There simply arenโt enough words to describe the happiness and warmth weโve felt here.
Thank you for every cheer, every memory, and for making us feel at home from the very first day.
Forever a Red Devil โค๏ธ
07.03.2026. Shule ya Wasichana Barbro, DSM. Mgeni Rasmi Profesa Issa Shivji na mkewe katika mahafali ya 20 ya kidato cha 6. Wahitimu 135 nusu wakisoma kwa ufadhili. Kumshukuru Shivji kwa mchango wake kutetea haki za wanawake nchini na kuendesha kesi ya BAWATA peke yake kwa miaka 11 hadi kupata ushindi, Profesa Tibaijuka, mwanzilishi wa shule ya Barbro alitoa zawadi ya Shs milioni 100 ambazo zitatumika kuunda Shivji Fund huko UTT na mapato yatokanayo yatatumika kuwasomesha wanafunzi wahitaji milele shuleni hapo. Watajulikana kama Shivji Scholars at Barbro Girls. Maombi yanakaribishwa, piga 0686189605.