@fatma_karume Hiyo Faragha unayoitaka wewe inakubalika kimila na tamaduni zetu, kiimani vipi'? Acha kujikuta mjuaji wa kila kitu bana, kwenye hili ebu achana nalo, acha kabisa, halina afya hata kidogo kwa salama ya baadae'
@fatma_karume Sio kumblock unaongea vitu vya kipuuzi, unajiita mtetezi unatetea haki gani hapo? Mbona akili kisoda mwanasheria dwasi sana wewe, mashoga unawatetea kwa hiyo nawe vipi'? Hawana haki hao hakuna haki kwa mwanaume kwa mwanaume mwenzie nawe wafurahi'? Cio, jikaze we bibi'
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limepitisha Julai 7 ya kila mwaka kuwa Siku ya Kiswahili Duniani.
Kiswahili kimekuwa lugha ya kwanza kwa lugha za Afrika kutambuliwa na Umoja wa Mataifa na kutengewa siku maalum ya kuadhimishwa.
Official. Manchester United announce that Michael Carrick will now take charge of the team for forthcoming games, while Manchester United look to appoint an interim manager to the end of the season. 🔴 #MUFC