Kenyan are shocked by how Junet Mohamed acts super hyper in public but during the interview he’s all confused and sweating. Hii video itembee Kenya mzima. Hawa wanasiasa hutubeba aje
Hii nairobi sasa kuna rende ingine inaitwa the nairobi flying monkeys. This is a battalion of people in Nairobi who exist in this city dangerously. They play hide and seek with poverty everyday. Mtu hajaandikwa kazi,hawezi point aseme pale ndio nafanya kazi,but still they manage to pay rent,and some have even gone to the extent of buying cars. Hawa wanaishi kwa neema ya bwana,and they know it. Wanaendanga kusota kadeal kanatokea,wanarudi steady. They have done this for years. Na hawananga ata savings
Hawa ndio ile kitabu ya mathayo sita inaongelea,kuna mahali mungu anaambia watu yake, Look at the birds,they do not reap or store in barns,yet they do not sleep hungry. Is it not because they trust in me? These guys are very strong mentally. Wanajiaminia namna atari sana. Mtu anajua vizuri hajui kwenye atatoa rent end month,na saa hiyo tuko date 27,na hashtuki. Ako tu. Weh! Apana chesa na hii flying monkeys bwana