The US Gov is selling 30 year bonds at 5%.
Lifehack -
Take 50M cash and buy bonds, thats 2.5M a year for zero work.
Thats 208k a month. Enough to cover basic expenses like security team and cigars.
Then you just need another 500k a month to have a good life.
You're welcome.
Uko sahihi kuhusu volume ya kiasi kinachokuwa traded, lakini sio katika sababu za kwamba kwanini huoni vijana wa US waki trade sana.
Kabla sijaenda kwenye sababu kuu, sababu ndogo moja wapo ni tamaduni ya hela na uwezo wa kimaisha.
Africa kwa ujumla uwekezaji kwa namna nyingi bado ni kitu kigeni kwetu hata adoption iko polepole sana. Tofauti na US ambako kuna option nyingi zaidi za uwekezaji na wana tamaduni ya kuwekeza. Kule average people wengi wanajua kwamba inabidi wawekeze. Na wanachagua safe option sababu hiyo elimu iko readily available kwao tofauti na kwetu.
Na katika Forex pia wanawekeza sana tu ila ni kwa namna tofauti na sisi huku. Wao ni indirectly kupitia funds.
Ukigusa kwenye betting huko ndiko kuna balaa kuliko hata tunavyoongelea huku TZ na kule regulations ni kali zaidi. Angalia tu hata Polymarket sasa hivi betting markets wanazoweka.
Sasa nirudi kwenye suala mama la Forex tunalo ongelea hapa.
US kuna regulations kali sana juu ya pesa za watu kila mahali zinapowekezwa. Kuna regulatory bodies kama CFTC & NFA ambao wako makini sana katika kuzuia GET RICH QUICK schemes.
Hizi regulatory bodies zinapelekea tamaduni ya kutafuta hela kwa vijana wengi wa US iwe katika kujenga Scalable businesses wakati Forex inafanyika kama professional business ya institutions ndo hizo Funds. Kwamba wewe hauanzi kufanya trading wewe mwenyewe, badala yake unaangala fund ambayo inakidhi mahitaji yako na principles zako unawapa hela yako wao wata trade. Haija maana kwamba hawapo wanaotrade. Wapo na ni wengi tofauti na unavyofikiri. Na wao kuna mpaka online academies za kufundisha FX . Mfano Moravian University wanayo kabisa Short Course ya Forex.
Africa tunakosa regulations kali.
Ukosefu wa Ajira na pressure ya hali ngumu inachangia kuwa na wimbi kubwa la vijana kuwa tayari kuamini watatajirika haraka kwenye FX.
Hatuna elimu ya kutosha na hatuna options za kutosha za alternative investments. Sasa hivi ndo zimeanza kuja kama hizi ETF ila bado watu uelewa mdogo na wanataka utajiri wa haraka.
Maisha ambayo traders wengi wanayaonyesha online ni ya kitajiri yanafanya vijana wengi wayatamani.
Hivyo ndo vitu vinafanya Forex ionekane uhakika wa haraka wa utajiri na utapeli at the same time.
Forex ni biashara halali, ila ina watu wanayo ionyesha tofauti ndani yake.
Under the directives of the President of the UAE, we launch a new government model. Within two years, 50% of government sectors, services, and operations will run on Agentic AI, making the UAE the first government globally to operate at this scale through autonomous systems.
AI is no longer a tool. It analyses, decides, executes, and improves in real time. It will become our executive partner to enhance services, accelerate decisions, and raise efficiency.
This transformation has a clear timeline. Two years. Performance across government will be measured by speed of adoption, quality of implementation, and mastery of AI in redesigning government work.
We are investing in our people. Every federal employee will be trained to master AI, building one of the world’s strongest capabilities in AI-driven government.
Implementation will be overseen by Sheikh Mansour bin Zayed, with a dedicated taskforce chaired by Mohammad Al Gergawi driving execution.
The world is changing. Technology is accelerating. Our principle remains constant. People come first. Our goal is a government that is faster, more responsive, and more impactful.
Charisma is the real currency of the world. The ability to talk, persuade, and charm others is unmatched. Start practicing it: be a better listener, remove your filter - say what you mean, mean what you say - and just engage in casual talking more. There is no "blueprint"; there is no "guide" for it. This skill is one of the things that is practice-only. Go out there. Sell your ideas, speak your concerns, and establish contacts everywhere. The world is your playground.