Yeye anafanya kwa vitendo,
Anakataa ushoga hadharani,
Donation palestine( na hii imuharibia sana , he lost kwenye PR baada yakuwagusa jews ndo maana media huwa zinamuandama tu ) also syria, hajachora tattoo ili awe ana donate blood.
@DadaConso Swala la mnara wa Babel nadhani lipo misinterpreted sana. Huyu jamaa amejaribu kuelezea Check out this TikTok I found! โถ๏ธWatch the full video now! https://t.co/AthwqwjblQ
Nimefungua IG acc inaitwa Zandanihq, nashare fursa na positive ideas. Karibieni sana.
Leo tuanze na fursa kutoka @Funguo_Tz ! Deadline tarehe 31/05/2026. All the best.
Hii podcast regardless wewe ni nani na unafanya nini,
ukiiangalia utajifunza vitu vikubwa sana, vitu ambavyo huwezi kujifunza sehemu nyingine yoyote
๐๐
https://t.co/LKljqrgDWn