KESI NGUMU KUWAHI KUTOKEA
-
"Mtoto wetu wa miaka miwili alichezea bunduki, akamfyatua kwa bahati mbaya baba'ake na kumuua!"
Haya maelezo aliyatoa Sharon Kinne.
Mrembo ambaye alitoroka gerezani, akatafutwa kwa zaidi ya miaka hamsini sasa bila ya kupatikana.
Wamexico walimuita LA PASTOLERA. Wakimaanisha THE GUN-WOMAN.
Kwake kuyeyusha roho ya mtu lilikuwa ni jambo jepesi sana kama Kuretweet UZI huu kabla haujaanza kuusoma.
Twende kazi...ππ½