Una aamini KENDRICK atakuwepo kwenye THE FALL OFF , akiwepo atanishangaza sana ๐คฃ๐คฃ maana siyo kwa diss zile ? Maana JCOLE alimpaka sana kendrick na talent yake
Akimpa feature atakuwa karudia matapishi
DRAKE sitoshangaa kabisa , wana ndugu wale, wacha tuone โ๏ธ
kuna swali najiuliza jana kulikuwa na zuio kila mtu asitoke nje kabisa je yule mama aliyekuwa anahojiwa na bbcs alitokaje pekeake nakufungua biashara ya matunda?okie yule mama aliyekuwa anapika chakula pale kwa ajili ya mafundi ilikuwaje? wale watu wachache pale stand confusion๐ค
@Tricy_Blessed Hawapendi maandamano ila wanapenda matokeo ya maandamano kwa kifupi Watu wengi hawataki kulipa gharama za kupata katiba mpya, utawala bora, Uchaguzi huru na wa haki, Huduma bora za kijamii, Kukomesha utekaji na mambo mengine mazuri ambayo kwa sasa hutuwezi kuyapata bila maandaman
@Tricy_Blessed Hujawahi feli upo na Hekima sana nakupenda, hili jambo kila mtu anaongelea kulingana na alipo ,hakuna fact tellers, all in all Amani ni matunda ya Haki,
@fumbokhanJr Elon is biased, and there is a media war.
He mistrusts CNN not only because of bias but because they often oppose him โ and he fights back with his own media power
@EsirEid Victim walikuwa Muslims kuhusishwa kuwachukia wa kristo sasa, engagement imeanzia kwa waislam ilikotokea tuhuma za kutengenezwa, at what ever circumstance ilikuwa lengo kuonyesha kuwa huo ubaguzi wa kidini haupo, You Dig this?
This is not just for the youth of Tanzania but for all the youth under dictatorship around the world . The youth are in shackles of poverty and need to rise and claim their heritage. For the youth of Tanzania,the time is now.
๐ช๐ฝ๐ฅGEN Z TZ SENDING LETTERS AROUND THE WORLD โผ๏ธ
After putting @SuluhuSamia on notice about the December 09 protest, now Gen Z ๐น๐ฟ are sending letter to various international institutions
I have received a copy of their letter to Vatican
Will post as I receive #D9
Vijana wa kizazi hiki wameamua wanatoa taarifa dunia nzima kuhusu maandamano ya Desemba 9. Nimepata nakala ya barua yao kwenda Vatican na kuna taasisi zingine nitazipost nitakavyozipokea
Tuko serious na Taifa na safari hii hakuna kuzima mitandao na watu wote watatoka kila kona waweke kambi kuwa observers ๐ช๐ฝ๐ฅ
Tunafanya mambo kisayansi kabisa chiini ya uongozi wa Gen Z !
What a great generation! Focused and smart!
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo