๐๏ธ Unahitaji Field Report?
Tunakuandikia Field Report kwa uharaka, usahihi na bei nafuu!
๐ Vyuo vyote
๐ฐ Tsh 18,000
๐ Bila plagiarism
๐ฒ +255 748 310 959
@MP_Soldier9 Kwani kuna ubaya gani kutumia AI ikiwa nayo ni moja ya ukuaji wa teknolojia??? Inaathiri vipi ujumbe uliokusudiwa kwenye tangazo?? Ikiwa technology ya ai inaogopwa kutumika ikatumike wapi??
@safarimlevi Maji yapo mengi mno lakini kuna mjinga analalamika kiu (mjinga ni kama mtu ambaye hajui kitu au hataki kujifunza jinsi ya kuyachota hayo maji akate kiu)
@Jaxon__tz Mwanamke hawezi beba majukumu ya kifedha yote ndani ya nyumba lakini mwanaume anaweza haijalishi mwanamke anafanya kazi gani.
Mwanaume atatoa mtazamo wa kiume wenye faida kwa familia, lakini mwanamke hataweza kutokana na kutumia hisia mda mwingi kufanya maamuzi
@Jaxon__tz Ulinzi wa kimwili (protection) can you protect me) ๐คฃ๐คฃ
Uongozi (naturally mwanamke hawezi kumuongoza mwanaume kwenye mahusiano au familia)
Kufanya kazi ngumu ( mwanamme ameumbwa kwa ajili hiyo)
Kuzaa mwanamke hawezi zaa mwenyewe bila mwanaume.
SO, IN CONCLUSIONโฆ ๐จ
The insider provided me with all the details surrounding Mwalimuโs move to Yanga.
According to the information I received:
๐ฐ Salary: TSh 25 million per month
๐ต Signing fee: TSh 180 million
๐ Car allowance: TSh 50 million to buy a new car
๐ฐ Loan fee to Wydad: TSh 500 million
Mwalimu has now left to join the Yanga team in Zanzibar as they prepare to face Simba in the Community Shield on August 12.
And the insiderโs final words to me were:
โSimba fail again to make things right.โ
Now, everyone has the full story.
From July 27 to August 11, youโve seen how this whole saga unfolded.
Iโve shared the information. Iโve shared the timeline. Iโve shared the screenshots.
Draw your own conclusions.
Iโm done with this one.
Have a great day, everyone. ๐ค
#Transfers
#AfricanFootball