Earl Karanja amebuy gari ya 36M,even prime kairo couldn't,buana with 9-5 huwezi buy gari kama iyo . for example mwalimu atafanya kazi for 2117 months ndio abuy iyo gari😬.
Sometimes huwa nafeel giving your kids two English names bila surname ya tribe yako, unamsave from experiencing tribalism in future, Ile tribalism iko hii kenya ni mingi sana.
Sijawahi elewa penye some fundis hupeleka pesa zao, saturday fundi analipwa 9k, na mtu wa mkono 4,200 lakini monday fundi hana kitu anaomba mtu wa mkono amkopeshe pesa
uyo video vixen wa bien nikama amefanya kazi mingi sana, yenye iliniwacha na nany question marks ni iyo ya pole dancing in turkey 😂😂...ladies hukuwa innocent until they decide to speak out 😂