To me, Tanzanians still held the biggest form of protest. Just imagine no business activities going across the country for a whole day. Isn't economic disruption a form of protest?
Deeply alarmed by reports out of Tanzania, where a police crackdown on protests has left hundreds dead.
We must have an independent, transparent investigation and accountability.
And the US must always support self-determination & a peaceful democratic process.
Kuna watu nimesikia wanasema TEC wanakosoa kwa sababu Rais sio Mkristo/Mkatoliki,
Msipotoshwe, TEC walimkosoa Magufuli ambaye ni Mkatoliki mwenzao.
Kwenye masuala muhimu kama haya tusilete UDINI.
Hawa wanaotukanwa kila siku kwasababu wanaPush Hashtag zisizo rafiki kwa Watanzania wengi wanaona ni sawa kwasababu ndio tunaocheka nao, tunaoMeet, tunakula na kunywa nao, tuko kwenye biashara zao.
Na wanajua kabisa watatukanwa na watavumilia kutukanwa na siku wakiona inatosha wataacha na watarudi kwetu wakisema “Nisameheni, yale mambo siendelei nayo tena, najua niliwakera ila nimeacha”. Na sisi kama kawaida tutawapokea vizuri tukisema“Angalau umejitambua, hayo ndio maneno, safi umefanya jambo zuri” na maneno mengine mengi. Pasipo kutambua waliyoyafanya tayari yalishasababisha damage/madhara mengi.
Ninachojaribu kusema chochote kibaya kwa sasa kinapaswa kukataliwa sio kwa maneno tuu bali hadi vitendo vihusike, kama utakataa hashtag kwa maneno ila mtu huyohuyo ni mshirika wako kwenye mambo mengine ina maana ataona ni sahihi yeye kuendelea kufanya yale yasiyo sahihi. (Mfano, ukikemea uuaji alafu marafiki zako ni wauaji ina maana na wewe unachangia wauaji wale wawe comfortable kufanya yale mauaji kwasababu hakuna repercussions, (wanaona hutowafanya chochote mwisho wa siku).
Tunapokataa hashtag zao alafu haohao ndio tunawaita marafiki, wapenzi, washkaji, dada/kaka, shangazi, Mwana, shoga yangu, Shemeji, ni kama tunawapa urahisi wa wao kufanya yale wanayoyafanya.
Tukikataa Hashtag tukatae na wanaozisambaza, na hata siku wakiona wameshajikusanyia mitonyo ya kutosha hivyo wanataka kuacha na kujirudi kundini pia muendelee kuwakataa, itakuwa ni funzo kwao na funzo kwa wale wanaofikiria kufanya yale yanayoumiza Wananchi.
Kama tutapuuzia na kuona ni ujinga au hatuwezi basi pia tusilalamikie habari za Hashtag Kandamizi. Maana malalamiko ya bure bila vitendo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Mabadiliko huanza na wewe, Kesho Bora umeibeba wewe.
Nimekuwa humu kwa muda mrefu na kuishi na nyote kama ndugu , Nikawasaliti na kufanya reli na kazi za Ccm . Leo naomba radhi kwa wote . Naungana na Watanzania wenzangu kudai haki na uponyaji wa taifa letu. Poleni kwa wote mliofiwa na kujeruhiwa. 1/3
Historia inasema once you go through what we went through for the past 5 days there is no coming back.
Inaweza isiwe kesho, wala mwakani ila ipo siku lengo litatimia.
Ukiwa ni Daktari, Askofu, Sheikh, au kwa jina lako lolote, cheo, heshima, umeshuhudia mauaji na ukatili uliosababishwa wakati wa uchaguzi. Halafu ukachagua kukaa kimya, wewe pia ni muuaji. Na utalipwa na Mwenyezi Mungu kama muuaji. Watoto wetu na wajukuu zenu wameuawa wengi sana. Mateso haya yamezidi kipimo cha ubinadamu, na damu isiyo na hatia inamwagika kila siku mbele ya macho ya wale waliopaswa kulinda uhai.
Muuaji mbaya zaidi si yule anayeshika silaha na kuua, bali ni yule anayekaa kimya baada ya kuona mauaji haya. Ukimya ni ushiriki , ukimya ni ridhaa. Kila anayenyamaza wakati wa maovu kama haya, anakuwa sehemu ya maovu hayo. Tusiwe watu wa kukaa kimya tunapoona uovu. Tusiogope kusema ukweli. Ni jukumu letu, kama wanadamu na watoto wa Mungu, kupaza sauti kwa ajili ya haki na maisha ya wasio na hatia.
Ukizima internet, unathibitisha kuna kitu unaficha.
Ukizima internet, unasimamisha uchumi.
Ukizima internet, unafukuza watalii.
Ukizima internet, unafukuza wawekezaji sekta ya teknolojia (startups).
Ukizima internet, unachochea kusambaa kwa misinformation.
Ukizima internet, unavutia makini ya watu wa mataifa mengine wajiulize kuna nini kinaendelea Tanzania?
Ukizima internet, unajishusha hadhi ya mpatanishi wa amani kanda ya maziwa makuu.
Ukizima internet, unawapa maunjanja Watanzania kutumia mbinu mbadala.
UKIZIMA INTERNET, UMEAMUA KUJIZIMA AKILI.
Tanzania has validated Diamond Platnumz to a point where he thinks he can support impunity just because he eats from the same plate as Samia Suluhu spitting in people's faces and gaslighting Tanzanians that they're not working hard enough.
When God gives you favor, don't assume people don't work hard. They do they're simply demanding systems that allow them to thrive. Diamond and those supporting Samia Suluhu should remember: when fame meets impunity,
accountability dies and no one is untouchable. The same crowd that builds your stage today can also take it apart tomorrow.
Tunatakiwa tuhakikishe wenyeviti wao wa mitaa, wajumbe, madiwani na wabunge wao hawapati ushiriakiano wowote kwa wananchi, we have to make governing us a very difficult job for them!! No one should enjoy our tax money in peace anymore!
Kenyans have really helped by making noise about what that was going on in Tanzania and the world can now see. Before someone from far helps you, your neighbor must try first.