@ThatBoyKhalifax huyu Askofu Shoo ni m T.A.G wa kwanza kusema ukweli bila maficho wala unafki
nikikua natamani niwe kama yeye
sisi wa T.A.G ni wanafki sana, tunaamini tunaweza kwenda Mbinguni kwa kujitenga na yote yanayoendelea hapa chini ya Jua. tunaamini kuomba bila kutenda 😅
👉Daaah aiseee😭😭🇹🇿
Huyu si ndiye Kihongosi Mwenezi wa Neck ya Wana Lumumba CCM⁉️
Huu ni unyama😭😭
Huu ni udhalilishaji😭😭
Huu ni utumwa😭😭
Tukiitisha Maandamano muwe mnatuelewa,hatuwezi vumilia unyama kama huu😭😭
👉 👇👇
Hi guys, I need a huge favor. Naomba msaada wenu mkubwa.
Hili tangazo ni la maana sana, siwezi kuelezea kwa kina sasa hivi ila baadae nitawaelezea. Ila ni process ya kupata account zangu za meta (instagram na Facebook)
Naomba mnitumie posti yoyote ile ya Mmarekani yoyote yule, mweusi au Mzungu ambae kawahi kuandika posti yoyote ile akiikosoa serikali ya Tanzania na posti hiyo haikufutwa au kuchukuliwa hatua na meta, posti lazma iwe kwenye mitandao ya instagram au facebook sio humu X.
Sio lazma awe Mmarekani au mzungu, hata awe mweusi ila sio Mtanzania ila awe anaishi hapa Marekani au hata nje ya Marekani.
Yani kwa kifupi posti za foreigners haswa wazungu wakiikosoa serikali ya Tanzania.
Naomba mnitumie kupitia whatsapp +1 424-537-3057
President Nandi-Ndaitwah’s State Visit to Tanzania must not be reduced to ceremonial photographs and liberation nostalgia.
Namibia must honour Tanzania’s past solidarity, but we must not use that history to excuse present repression.
If Namibia’s liberation struggle taught us anything, it is that silence in the face of injustice is complicity.
President Nandi-Ndaitwah must raise the detention of Tundu Lissu, the allegations of post-election killings and abuses, and the urgent need for constitutional and electoral reform.
True friendship is not silence. True African solidarity means standing with the people when democracy is under attack.
#FreeTunduLissu #Tanzania #SADC #Namibia
@philippe_dam@EU_Commission@EU_Partnerships@JozefSikela@llombartpatUE reports from CNN, BBC, activists, opposition parties suggested 1000’s of deaths, government initially denied any fatalities, later same government acknowledged 500+ deaths through the so called Chande’s commission. raise important of independent Investigation
BAJETI 2026/2027. Hapa jambo kubwa ni je mikopo yetu ni HIMILIVU? Hapana imezidi. Kwani kwa takwimu hizi
Mapato ya serikali ni Shs T36.99 kodi+T9.24 mengineyo =T36.23.
Madeni ni T7.84 yaliyoiva+T6.86 riba=T14.70.
Madeni kama asilimia ya mapato halisi ya serikali : T14.70/T36.23 = 40.57%.
Deni himilivu halitakiwi kuwa zaidi ya asilimia 18% ya mapato ya serikali. Kwa hiyo tumevuka mpaka (kima cha juu) hata kama WAKOPESHAJI watatwambia vinginevyo. Bila misaada zaidi TWAFA🏃🏻♂️🏃🏻♂️🏃🏻♂️Kodi zikizidi uwezo wa wananchi kulipa zinakwepwa au kufirisi walipaji. Inakuwa vicious circle.
Kesi ya uongo ya mgogoro fake wa mali, ni kesi ya Msajili wa vyama..
Marehemu mama Komu alituelezea namna ambavyo Sisty Nyahoza, Msajili msaidizi akiwa na mtu anaitwa Salehe Bohora, walivyomfuata nyumbani kwake na kuomba aweke jina kwenye kesi..
Marehemu Mama Komu alituambia hata malipo ya mawakili yalilipwa na Salehe Bohora na bwana Sisty, kwa mujibu wa mama Komu huyu bwana Salehe alitumwa na Rais.
Mtakumbuka pia kuna mtu alijiita Mwenyekiti wa Chadema Mwanga.. huyu nae alikua analipiwa mpaka mahali pakukaa na ofisi ya msajili, kupitia ofisi hiyo hiyo ya msajili walidai kutotambua uongozi halali wa Chama, katibu mkuu, manaibu katibu wakuu na wajumbe wa kamati kuu ya Chama.
Hii kesi ilifunguliwa siku hiyo hiyo ambayo Mwenyekiti wetu alikamatwa na kupewa kesi ya uhaini.
Kesi hii ilipangwa kwa Jaji mwingine awali lakini katika mazingira tata ikapelekwa kwa jaji Mwanga.
Jaji Mwanga tangu awali alionekna wazi kutofuata sheria, kuendesha Kesi kibabe na kudharau kila hoja iliyotaka upande wetu… alikua na maelekezo ya wazi na alionesha upendeleo uliovuka mipaka..
Kupitia kesi hii shughuli za Chama zilizuiliwa kinyume cha sheria kwa siku 309, Mpaka mahakama ya rufani ilipofuta zuio fake..
Kupitia Hilo zuio watu wetu walipigwa mara nyingi na polisi kila walipojaribu kufanya shughuli za chama.
Tutakumbuka siku ya wanawake duniani namna wanawake wa Bawacha walivyopigwa mpaka kanisani kwasababu ya zuio hili haramu..
Mali za Chama zimeharibika, Mimi pamoja na Katibu mkuu tulifunguliwa kesi ya contempt of the court. Kutokana na Amri hizi hizi.
Jaji Mwanga alipuuza hukumu ya mahakama ya rufani ambayo ilikua inamlazimisha kutokifungia Chama chetu..
Nani atalipia maumivu, usumbufu, matatizo ya makusudi, nani atalipia hasara zisizolipika za kuzuia chama mda wote huu kufanya kazi zake..
Tunafurahia leo, lakini Fikiria damage zote hizi hazikutakiwa kuwepo, zilifanywa kwa makusudi kwa manufaa ya Samia na Ccm.
Bado msajili anatufuata fuata na kutuandikia barua baaada ha maumivu yote haya aliyotusababishia..
Kama ilivyo kesi ya uongo ya kumtesa Mwenyekiti wetu ndivyo zilivyo zote hizi ni kwa manufaa ya Samia wala sio Nchi..
Tuacheni tufanye wajibu wetu wa kisiasa. Hatutapiga magoti wala kununuliwa.
LISSU WA NADHIRI YA MAANDAMANO YA 29 OCTOBA AMEZALIWA TAREHE 21.05.2026
Baba yake kabla ya KIFO aliacha WOSIA kwamba mke wake akijifungua mtoto wa KIUME basi amwite LISSU ni kweli ndoto imetimia, mtoto amezaliwa amepewa jina la LISSU PAULO PAULO SILAYO.
Muda mchache Kabla ya Kifo Chake aliacha deni kubwa kwa Watanzania.
Unamkumbuka Paulo Wiliam Silayo?
Paulo Wiliam Silayo alikuwa ni mtanzania mzalendo kuwahi kutokea kwenye historia ya taifa letu.
Paulo Wiliam Silayo alilipenda taifa lake mpaka kufikia hatua ya kujitoa sadaka kwaajili ya taifa.
Siku chache kabla ya kifo chake aliacha ujumbe mzito ulioandikwa kwa lugha ya kiswahili "NIMEOA NIPO NA MKE JINA LAKE (......) ANA MIMBA YANGU TAFADHALI KAMA NITAKUFA ATUNZWE VIZURI, HADI ATAKAPO ZAA NA MWANANGU PIA ATUNZWE VIZURI KAMA MWANAUME NAOMBA AITWE LISSU AKIWA MWANAMKE MCHAGULIENI JINA" Mwishoni akamalizia kwa kusema "NAFANYA HAYA KWAAJILI YA TAIFA LANGU TZ NA SI VINGINEVYO NAIPENDA TANZANIA, MUNGU IBARIKI TANZANIA" mwisho wa kunukuu.
Siku ya Tarehe 29/10/2025 (Unforgettable day) Paulo Wiliam Silayo aliuwawa kwa kupigwa risasi ya kichwa kwenye maandamano ya kupigania haki na demokrasia ya taifa letu mpaka sasa mwili wake haujapatikana.
Paulo Wiliam Silayo ametuachia deni kubwa watanzania, Mke na Mtoto wa Paulo Wiliam Silayo watazamwe kwa ukaribu na tuendelee kuonyesha upendo kwao, hiyo ndio namna pekee ya kuifurahisha nafsi ya Paulo Silayo.
Unaweza Tuma chochote kwa namba 0715444064 Tigo Jina Nazareth Mwaijande