Sio kwa ubaya ila tujiulize
🤔
Hivi waliojenga waliwezaje?
Walionunua magari waliwezaje?
Wanaomiliki maghorofa waliwezaje?
Waliofaulu waliwezaje?
Yaani tujiulize ulize tu, Wao waliwezaje? Je! Na sisi yatupasa kufanyaje?
Mlioweza tusaidieni! MLIWEZAJE?🤔