If you were one of the market structure shift traders in the replies, understand that your system is shit.
There is a better and more efficient way of doing things… turtle soup.
Turtle soup is the peak of the charts.
Uwekaji wa Tarehe sahihi unapotoa Taarifa au kueleza Tukio ni sehemu muhimu ya Muktadha wa Taarifa yoyote
Husaidia Jamii kuelewa uhalisia wa Muda wa tukio hilo hata baada ya muda wake kupita ili kuepusha taharuki
Ikiwa umepata taarifa ya tukio na ukashindwa kujua ni ya lini, iwasilishe katika Jukwaa la https://t.co/TcYeGzYl5L kwa Msaada zaidi
Soma https://t.co/vgqUOUXYKF
#JamiiForums #FactsChecking #FactsCheck #HakikiTaarifa #VisitJamiiCheck
Unapochagua mtu wa kuanzisha nae familia sio tu kuhusu mapenzi pia unakuwa umechagua msiri, mshauri, mlezi, mtaalamu, mwekezaji, mwalimu bora na mshirika wa biashara. Chagua kwa Busara.
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika inaendelea leo Februari 16, 2024 kwa mchezo mmoja wa kiporo ambapo Mabingwa watetezi, Al Ahly 🇪🇬 watakuwa ugenini dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria katika dimba la Julai 5, 1962, Algiers.
22:00 • CR Belouizdad 🇩🇿 vs 🇪🇬 Al Ahly
🏟️ Julai 5, 1962, Algiers
Mchezo huu wa mkondo wa tatu wa Kundi D uliahirishwa kutokana na ushiriki wa Al Ahly kwenye michuano ya klabu Bingwa Dunia.
MSIMAMO KUNDI D
1. 🇪🇬 Al Ahly — Pts 5*
2. 🇹🇿 Yanga Sc — Pts 5
3. 🇬🇭 Medeama Sc — 4
4. 🇩🇿 CR Belouizdad — 4*
Al Ahly imesaliwa na mechi tatu, leo watakuwa ugenini dhidi CR Belouizdad kabla ya kusafiri kuwafuata Medeama ugenini na kumaliza hatua ya makundi dhidi ya Yanga Sc nyumbani Cairo.
CR Belouizdad imesaliwa na mechi tatu, leo watakuwa nyumbani dhidi ya Ahly kabla ya kuwafuata Yanga, Dar es Salaam na kisha kuhitimisha hatua ya makundi dhidi ya Medeama wakiwa nyumbani.
#KitengeSports
#VIDEO Dereva mmoja wa bodaboda wa Mbezi Afrikana Steven Kitosi anasema moja ya changamoto kubwa ya udereva bodaboda ni baadhi ya abiria kutolipa nauli ambao wengi huwa wanadanganya kuwa wameshalipa tayari ambapo amesema kwa asilimia kubwa wakina dada ndio wanatabia hiyo ambao wakifika nyumbani wanadandanya wamezidiwa wanaingia ndani ili wasilipe nauli
Dereva huyo ameyasema hayo alizungumza na EATV leo Februari 16, 2024 jijini Dar es salaam ambapo mbali na kuwasilisha changamoto hiyo amesema elimu ya usalama barabarani wanayopatiwa na askari wa usalama barabarani imewasaidia kujikinga na ajali
#EastAfricaTV
Unaweza tuambia hii ni basi Gani pichani? Ukirudi nyuma miaka kama 8+ Tanzania kwenye suala zima la usafirishaji abiria mabasi yalikuwa yanatembea kulingana na kifua chake. Yaani 148KPH ilikuwa ni spidi ya kawaida tu na si suala la kushangaza kabisa.
Ninakumbuka mwaka mmoja niliwahi kutoka Dar saa 06:00am nikafika Mwanza saa 08:45pm. Hizi zama zikijirudia saa hii na haya mabasi ya kisasa, sijui tu😂😂😂