@Roma_Mkatoliki Moja ya kitu hutak kujipa muda ni kuamini niny mpo wengi hii si kweli, ninyi mnawapiga kelele na watukanaji wazuri tu hivyo wengi uamua kukaa kimya hapa ndio mnapodhanig mpo weng pale mnapoona kila anayecomment ni wa upande wenu ila hii si kweli ila pia ni ngumu kuikubali.
@NchimbiRas@MDigala24@HopeQuotes__ Wewe haujafa kwa risas mbona hukufatwa ulikojificha uuliwe bila sababu au wewe ndio mjanja ulioleta vurugu wakauliwa wenzako wasio na hatia, au nyiny ndio mnaowatoa wenzenu sadaka wakat hampo nchini. Wewe ulikua wap iyo siku ebu tueleweshe tuelewe
@MarekaMalili Unajua vibaka wapo wachache kuliko watu wema, watu wema ujilinda dhid ya vibaka wachache hivyo ni busara kukaa kimya. Kuna watu wamekatwa vidole na wengine kichomewa mali zao.
@Dr_Msemo@MunishiRenald@Mwitah_tz Uko sahihi, na hii ndio inafanya vijana weng wahis wao wako wengi kumbe wengine wanakwepa matusi na kashfa zisizo za msingi. Inabid iwe hoja kwa hoja sio hoja kwa tusi.
@MunishiRenald@Dr_Msemo@Mwitah_tz Sasa umerud kwenye mstari, unachozungumza uko sahihi kabisa ila hoja ya msingi bado iko pale pale, scenario haziwez kufanana kwasababu hata mazingira ni tofauti, issue ilikua ni Kenye huwez kushinda kwa asilimia zaid ya 90, hii ilikua ni kauli ya uongo ama amesahau.
@Dr_Msemo@MunishiRenald@Mwitah_tz Usimuelewe, anaruka hoja, hoja hapa ni asilimia. Izo asilimia zilimfanya Ruto kuwa naibu rais hivyo hoja yake kwamba Kenya huwez kupata izo asilimia ilikua ni uongo wa wazi au alikua amesahau. Sisi kazi yetu ni kumkumbusha tu.
@WHenry96130@Abdul_Kitambazi@Kategoladslaus3 Hiv huwa mna akili timamu pale mnapomfananisha Mandela na kina Roma?! Nikashaonaga mtu anaona huu ujinga ni sawa na kina Mandela uwa natupa taulo. Kama kuamini mange yupo kwaajili ya kulikomboa hili taifa ni akili bas bora niendelee kuwa mjinga.
@WHenry96130@Abdul_Kitambazi@Kategoladslaus3 Na iyo number hawataipata hivyo acha waendelee kujidanganya, kinachoniuma mim hawa machoko wanaoshawish wenzao siku ya tukio wanachimba wanaacha vijana fata mkumbo ndio wanakutana na dhahma.
@libogile@itcRenee@TheRuthless0@Lukala_Ngesse Sikuping ila pia usipinge wanaomtaka. Wapo nao ni wengi tu kama usemavyo. Kikubwa tusubili uchaguzi 2030 ukikataa hili basi ujue mpo wachache ndiomana mnajiami kwenye mitandao.