@AM_NIC3@tracytrachu@mentor209 Miamala kukaa siku 30 wanazingua na pia kupokea pesa kutoka bank za nje ya nchi wanachelewa sanaa iyo ndo shida yao na mengine ila iyo ya kukatwa pesa sjawai kuskia
@AM_NIC3@mentor209@tracytrachu Naposhindwa kuelewa ni kwamba iyo hela wanakata muda gani na je muda ulipokua unafanya muamala ulifanikiwa au haukufanikiwa? au ukiongeza salio ili ukamilishe ndo wanakata kwa sababu ulikua na salio pungufu au