#Gianni Infantino FIFA President
Your private investment plan is the best π for #CAF and the world.
You are a world genius. You deserve the Nobel Peace Prize βοΈ π
Watu mnaspend more than 3 millions per night kwenye pombe mkiwa dar alafu mnawashangaa watu kulipia kwenda kukimbia Dodoma? Heshimuni starehe za watu! Kila mtu ana starehe yake we kama starehe Yako ni pombe wengine starehe zao ni kukimbia.
Argentina imekuwa timu ya kwanza katika historia ya Football kushindwa kupiga shuti hata moja lililolenga goli kwenye dakika 90 za mechi ya fainali ya World Cup. Hawa jamaa walitaka kubeba kombe la dunia kihuni sana.
Itβs my day today β€οΈ
Cheers to new beginnings, endless blessings and unforgettable memories.
Happy Birthday to me β€οΈβ€οΈ
#GratefulHeart#GodsBlessings#NewChapter
Kwa hiyo Heche anataka watoto wa darasa la kwanza wafundishwe kuchimba mafuta? π Hizi political satire za kitoto sana. Bila hiyo sympathy ya jamii, hoja kama hizi zisingepata uzito wowote zaidi ya kuchekesha tu.
Upinzani wetu mara nyingi umekuwa hodari wa kejeli kuliko hoja mbadala. Leo mtu analalamikia watoto kufundishwa kusoma, kuandika na kujenga kumbukumbu, huku akijua kabisa kwamba taaluma maalumu kama Petroleum Engineering hufundishwa vyuoni. Au labda ndiyo madhara ya kutosoma mjini. Exposure inakuwa ndogo sana. π