@chelseaswahili_ @hassanools@VictoryTheCham1@MadehaMalecela @20qnana Zanzibar ilishawai ilisha China, Russia, Canada, India na Ujerumani na ikaikopesha marekani kama doller tirioni 3 mwaka 1953 kabla haijaungana na Tanganyika hapa wazanzibar tujitoe tu ๐
Hawa mademu mnao tongoza tongoza tu hawa mtayakanyaga ukimwi wa TUNDUMA unakupiga huku unakutoa na vipele unakupiga huku unakuzeesha na kukuzeesha ๐
@rayasel94@GeorgeJob14 Hata buzA kuna Arsenal hiyo ndo hawaingii kikosi cha Leicester City mimi ni Chelsea Damu ila Odergard pekee ni Liverpool nzima na Man United yote na fagasoni ndani yake ๐
Kiukweli mimi simba damu natamani kusema Zalan wameonewa, lakini nikikumbuka lile limayele lilichotufanya naamua tu kunyamaza tulishindwa kupata hata shot on target tukaliwa 2-0 kweli? ๐ญ
Kazi zetu za simu ni nzuri sana, ila changamoto yake ni pale mteja anapokuja kukuludishia simu ambayo haiwaki. Haujui! Aliiangusha? Am vipi, anataka umbadilishie na ulikula buku๐ฅน๐ฅน
Kuna wale wanangu hapo katikati walifululiza kupost zile hela za kwenye link wananitumia na dm๐คฃ saizi hawapost Tena na hata baskeli hawana na hata iPhone 14 tu inawashinda kununua ๐๐๐