@JoyceHuru@Malik_frr C Y they avoid talking about it?umeuliza,umejibiwa lkn unakataa...how dumb R U?halafu hata kama it's not ur thing lkn jikaze usome,vitabu c vipo???
@ExplosiveMediaa Pls make one of how and who created Hamas Hezbollah,same goes to isis alqaeda,what happened to uss liberty who bombed British embassy,jf Kennedy,9 11....(who,how,why)
@knghnri@ayubu_madenge ❌ Kwhyo ss hivi unasema losses zipo kote😁,sio mmewamaliza tena?
❌ Unasema hormuz haikufungwa ni foleni?foleni ilitokana na hormuz kufungwa
❌ Unajua maana ya global?Akili yako inajua global ni USA na Israel Au? China,Russia,Spain,Korea zote,Pakistan,India nk wko na iran
Dumb
@blazadadee1@Jizzlewantandu Ok so unamaanisha Defensive Force Yao ndo utaDetermine nguvu Yao.
Offensive force Yao ndo hii tumeishuhudia wiki mbili hizi.
@knghnri@ayubu_madenge Hormuz ilikua wazi b4 vita,nw imefungwa na wakipita wanalipia.Serekali ni ileile,usilete porojo tumeua,jifunze maana ya regime change.Bases zenu karibu zote zimepigwa.Hezbollah Hamas bado wapo.10points za Iran zimepita.Bado ana makombora na air defence. Hoja hizo ww lete taarabu.
@knghnri@ayubu_madenge Acha taarabu,ww umeona mziki tu hapo...jibu hoja,umekazaaaaana tumeshinda tumeshinda,mmeshinda nn??mmefanya nn?? Mmebadilisha nn?? Mlichokitaka kabla ya vita ni nn?? Mmekipata??.... Haya mzee nijibu tumeshindaaaa😁😁 Ndo mwisho wa uwezo wako huna hoja
@knghnri@ayubu_madenge Hujui Kuna nyimbo zilisaidia kuikomboa nchi kwa kuunganisha watu,kwenye majibu yako unakazania mmeshinda,ww unajua,mimi sijui,kaskilize mziki.hamna unacho jibu kwenye mada,ww ndo wale wakiwa hawana point way out ni kususa,me mwnywe nimegive up,kama namwambia nzi maua yananukia.
@ayubu_madenge Na bado iko under sunctions miaka 40+...wasioelewa wataona kawaida Ila kwa haraka tu kama isingekua under sunctions ingekua na nguvu mara 10 ya ilivyo sasa
@INFLUENCERjr Iko hivi,US alipeleka masharti yake wiki ya kwanza ya vita,Iran akakataa,lkn akajibu kwa kuorodhesha masharti yake,US akakataa,baada ya vitisho kutokufanya kazi ndo marekani akakubali Yale masharti ya Iran walopeleka wiki ya kwanza+ss hivi watalipisha Kila meli.. Nani mshindi?
@ayubu_madenge Marekani kasema kashinda na Iran kasema kashinda,Ila kuchagua upande unasema Iran na israel😁,anyways wasiodandia treni kwa mbele wanajua kabla ya vita ilikuwaje,waloanzisha vita walitakaje na baada ya vita imekuwaje halafu ukitumia akili unapata jibu clear kabisa.
@VungaEl74@MDigala24 Hivi unajua kwann wanafungua,umesoma kuhusu masharti??? Au unajibu tu kwasababu una account ya kujibu...marekani wachkue malipo gani?? Hormuz walikua wanapita bure ss hivi watalipia na hela inagawanywa na Oman...wachkue malipo yapi unayosema ww?