DOLA YA #OTTOMAN MASUFY HAIKUANGUSHWA NA SAUDIA🇸🇦
🫴WALIANGUKA WENYEWE KWAKUA HAWAKUA WATU WA TWEHEED 🖐🌶👀
🔹️NI MASUFY NA WANAAABUDU MAKABURI NI WAFU NA USHIRIKINA KIBAO
ALLAH ALIONDOA DOLA YAO KWASABABU YA KUSHIRIKISHA ALLAH
Waabudu makaburi wale , uturuki walikua washirikina na ndio maana Allah aliangusha utawala wao
🫴uturuki ndio na dola ya uthmaaniya ni chimbuko kubwa la ukhurafi na usufy
🔹️wanazika watu misikitini ndani na wanaswali humo
Nenda uturuky misikiti mingi ina makaburi na wanaenda makaburini kuomba wafu mpaka leo
KIONGOZI WAO NA SHEIKH WAO MAARUFU ANAITWA ;
AZIZI MAHMUD hüdayi _
🔹️WAMEMZIKA MSIKITINI NA KABURI LAKE LIMEJENGEWA NA WANASWALI HUO NA KWENDA KUMUOMBA DUA NA KUKUOMBA MSAADA
🔹️ameziwa mwaka 1541_1628 died
🔹️alikua ni sheikh katika utawala wa OTTMAN EMPIRE YA KITURUKY
NA NDIO KAWAIDA YA MASUFY KUZIKANA MSIKITINI NA KUWAOMBA WAFU
MTUME ALIKEMEA HILO NA KUSEMA HIZO NI TABIA ZA KIYAHUDI NA KIKRISTO KUZIKA WATU MSIKITINI
🔹️NA NDIO ILIKUA DAAWA YA SHEIKH MUHAMMAD BIN ABDUL WAHAB KUKATAZA USHIRIKINA HUU WA KUYAJENGEA MAKABURI NA KUYAWEKA NDANI MISIKITINI
🫴NA NDIO IKAWA CHANZO CHA MASUFU WA DOLA YA OTTOMAN KUMTUNGIA JINA BAYA( #WAHABY) NA KUMCHAFUA KWA AINA MBALI MBALI ZA UONGO
🫴NA WAKAPELEKA JESHI KUTOKA UTURUKY KWENDA NAJDI (DIRIIYYAH) KWENDA KUMPIGA VITA SHEIKH MUHAMMAD BIN ABDULWAHAAB NA UTAWALA WA AL_SAUD
SASABABU YA WAO KUMCHUKIA NI WAO KUKATAZWA SHIRK ZA KUABUDU MAKABURI NA KUWAOMBA WAFU
Na sio kweli kwamba dola ya saudia ndio iliangusha utawala wa ottoman
BALI WAO OTTOMAN EMPIRE NDIO WALIOENDA MAKKA KULE DIRRIYA WAKAIZINGIRA DOLA YA AL_SUUDI NA KUITAKA KUIANGAMIZA KWAKUA ILIKUA KINYUME NA ITIKADI ZAO ZA KISHIRIKINA ZA KISUFY
🫴Allah akawapa nusra ahlu sunna(WATU WA TAWHEED) wakapamban na wakashinda ule mzingiro na wakaisimamisha dola ya TAWHEED MPAKA LEO
🔹️hiyo saudia ilifikaje huko uturuky kwenda kuangusha utawala wa ottoman⁉️
Acha kuzusha uongo wako we sufy mwabudu makaburi
JIDOLA LENU LILIANGUKA KWASABABU YA USHIRIKINA WENU NA KUACHA DINI MKAINGIA KWENYE ANASA ZA KIDUNIA
🔹️uturuky mpaka leo haina athar hata ya uislam
🫴WAKO KAMA KINA TRUMP NA KINA MACRON
🫴eti inaambiwa UTURUKI ndio ilikua makao makuu ya dola ya kiislamu YA OTTOMAN(UTHMAANIYYAH)
LAKINI WATU WAKE ; 👇👇
🔹️_ushirikina wa kuabudu makaburi umejaa...uchawi wa kuloga umejaa na mahirizi kibao _
🔹️wala hakuna hadii za mzinifu wala mwizi ...hazitekelezwi
🔹️_wanafanya uchaguzi wa kidemokrasia kwa kupiga kura na kuchagua hadi viongozi wanawake
🔹️_wanavaa kama wazungu, matai,masuti ...wanawake wanavaa masuruali mamodo...wanavaa vimini ...madanguro ya pombe yamejaaa mitaaani...night clubs...miziki kila kona
_wanawake wanabadili maumbile kama kuongeza shepu na ubaradhuli wote
KWANI HIYO UTURUKY HATA KAMA DOLA YA OTTOMAN ILIAMGUSHWA NA MAWAHABY KAMA MNAVYODAI ;
🫴MBONA MPAKA LEO UTURUK HAMNA ATHAR YA UISLAMU HATA KIDOGO⁉️
nani kawazuia wasiendelee na dola yao ndani ya uturuky⁉️
KWANI KUNA MSAUDIA YUKO PALE UTURUKY KWA SASA ANAWAPANGIA CHA KUFANYA⁉️
PELEKENI MALALAMIKO YENU ICC AU THE HEGUE
🔹️mkikosa hoja mnanza kubweka bwekwa tu
@Asia_Zamah@_iam_chandra@abulhusayn01@AbuuNyungu@husseinabui@ABUWSUHAYLAH@SalafiTanzanian
CHINI HAPO NI CLIP ZA VIDEO ZIKIONESHA KABURI LA HUYU SHIKH WA DOLA YA OTTOMAN EMPOWER #AZIZ MAHMUD HUDAYYI
LIKO UTURUKI MPAKA LEO LIKO NDANI MSIKITINI WANAENDA KUFANYA ZIARA YA KULIABUDU KABURI 👇👇