Mwana anavyomzoom mkewe aliyemlipia ticket kutoka Norway hadi U.S.A halafu kasahau yotee, anadata na six packs .. na huyo ndio mwanamke, anataka ambacho wewe hauna😂💔🙌...
🚨🔴🦁 SIMBA SC
Timu ya wakubwa ya Simba SC pamoja na timu ya vijana ya klabu hiyo leo zimefanya mazoezi ya pamoja katika viwanja vya Mo Simba Arena.
💪 Mazoezi hayo yamewakutanisha wachezaji wa kikosi cha kwanza na vijana, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mshikamano na kuendeleza vipaji vya baadaye vya klabu.
🚨DEBORAH FERNANDEZ🇨🇬🇱🇾🏆🔥
Kiungo wa zamani wa Simba SC, Deborah Fernandez, jana ameandika historia baada ya kuisaidia klabu yake ya Swehly Club kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Libya kwa kuifunga Al Nasr SC kwa penalti 4-3, kufuatia sare ya 1-1.
Dili hili lilikuwa na presha kubwa kwani Fernandez alikuwa akipambana dhidi ya Al Nasr inayowatumia mastaa watatu wa zamani wa Msimbazi: Kibu Denis, Steven Mukwala, na Fabrice Ngoma. Mwishowe, kiungo huyo ameinua bendera ya ushindi na kuwaacha wenzake wakishika vichwa.
Lengo la Simba ni kusajili washambuliaji wawili ambao wataenda kusaidiana na Selemani mwalimu, watasajili mshambuliaji wa kimataifa mmoja na mshambuliaji wa ndani mmoja.
Tayari hadi sasa klabu ya Simba imeulizia taarifa za washambuliaji watatu(3) tofauti tofauti wa kimataifa (kati yao wote bado hakuna mazungumzo rasmi).
Kwenye orodha ya majina hayo lipo jina la Sede Junior Dion(27) raia wa Chad ambaye anacheza katika klabu ya Golden Arrows ya ligi kuu Afrika kusini 🇿🇦
Simba wameulizia taarifa kuhusu upatikanaji wa mshambuliaji huyo ambaye ameibuka mfungaji bora katika Ligi ya Afrika kusini akiwa na mabao 14 na assist 1 huku akiwashinda Rayners wa Mamelodi Sundowns 12 ,Mafokeng wa Orlando pirates 10.
Kama Simba wakikipata hichi kiumbe basi tatizo lao eneo la ushambuliji limeisha, Nitarudi kukuambia hao washambuliaji wengine wawili wa kimataifa hapa hapa.
NiFollow @RevocatusMagum1