Miongoni Mwa Madhambi Yaliyofanywa Na Waislaam Kuwa Ni Ya Kawaida, Ni Katika Utaftaji Bas Ni Jambo La Kucheza Kamarii, Kwa Aina Zake Zote... Watu Wajihadhariii Na Kitu....
Kamari Ni Haramu Na Itabak Kuwa Haramu Mpka Kisimamo Cha Qiyamah Kutokea
@abusumayyah_o Chuki dhidi ya Saudia ni kubwa sana kutokana na ilivyosimamisha Tawheed. Abul Fadhil (Hafidhwahullah) anasema nenda na konyagi yako Saudia alafu utakuja kutuambia nini kimekukuta. Hahaha, hawa watu wana tabu sana, uchache wa Elimu ni shida, Allah awaongoze.
TAFAKARI
KUJIKINGA NA MADHAMBI
Amesema Sheikh Abdul razaaq Al-badri Allah amhifadhi :
أرأيتم لو أنَّ شخصًا اشتد به الجوع وُضع بين يديه طعام شهي ومدَّ يده ليطعم منه فقيل له:
Mnaonaje lau mtu aliezidiwa na njaa , pakawekwa chakula kitamu mbele yake akanyanyua mkono wake aweze kula kisha akaelezwa :
إنَّه مسموم إن أكلْتَ منه ضرَّك أو أهلكك ، أيضعُ يده فيه أو يكفَّها ؟
Chakula hiki kina sumu ukila kitakudhuru au kukuangamiza , je ataweka mkono wake katika chakula hicho au ataacha ? ( bila ya shaka atakiacha )
فسبحان الله !! كيف يتجنَّب طعاماً خوف مضرته !! ولا يتجنب الذنوب خوف عقوبتها هدانا الله.
Subhaana Allah!! vipi ( Mtu ) anajiepusha na chakula kwa kukhofia madhara yake na wala hajiepushi na madhambi kwa kukhofia adhabu zake ? Allah atuongoze
Nimesema :
Naam tunatamani kuyafanya madhambi na huku tumekwisha elezwa madhara yake je hatuzikhofii nafsi zetu katika hili ?
tunapoingia katika kutamani kufanya maasi tukumbuke mwisho wake mbaya tukumbuke adhabu zake pia huenda ikawa kinga ya sisi kuingia katika madhambi
Sheikh Abuu Fat'hiyyah Khamis Kiza Allah Amhifadhi
@TravisMaujanja@EsirEid NimekuQuote na kuweka maelezo marefu kidogo ambayo yatakusaidia kuelewa ili usihangaike tena na haya mambo, ukiwa hujaelewa tafadhali karibu uulize ili ueleweshwe zaidi.
Kwa hiyo, leo kila Muislamu au kila jumuia ina hiari ya kuchagua:
ama kufuata ru’ya ya eneo/taifa lake (ikhtilāf al‑matāli‘),
au kufuata ru’ya ya kimataifa (mwandamo mmoja wa Umma).
Nadhani umepata jibu kamili kaka. Allah atuongoze na anisamehe nilipokosea.
Kuhusu mwandamo wa mwezi, wanazuoni wa Ahlus‑Sunna wamekhitalifiana kifiqhi katika kauli 2 mashuhuri:
1: Mwezi ukionekana nchi yoyote ya Kiislamu unawafunga Waislamu wote (mwandamo wa “kimataifa”).
2: Kila eneo/Taifa lina mwandamo wake (ikhtilāf al‑matāli‘), yaani watu wa...
@abdccons@EsirEid Swali langu bro
Sisi na saudia tumetofautiana masaa machache sana je ikitokea mwezi umeandama tanzania muft aka verify na kutangaza ilihali saudi haukuandama je watafata kuandama kwa mwezi wa TANZANIA na kama ndio kwann sisi hatukuufata leo na kama hapana kwanini wasitufate
Hivi sivyo alivyotuamrisha Mtume ﷺ.” Hapa wanazuoni wengi wamesema: Ibn ‘Abbaas hakuwafunga watu wa Madina kwa ru’ya ya Shaam, akafuata mwandamo wa eneo lao.
@Back_benchi Soma post yangu vizuri, jinsi ulivyoandika ni dhihaka ukaweka pamoja na emoji ya kicheko. Unaelewa ulichofanya ni basi tu unaamua kukazana.