Only God deserves to be Glorified. No life without rules, regulations, & principles, thereof God's laws are of better rather than man made laws. Love is law!!
Quote kutoka kwenye my book 'How To Become A Monopoly' ni buku tu 1,000/=
Nunua kupitia Roboti
[1] Tuma neno "Nunua" kwenye hii link
hii link https://t.co/th4Jf559Sv
[2] Fuata maelekezo
Chatbot Product ya @CreatorStoreApp chatbot kupitia
!!NEW VIDEO IS OUT!!
Mfumuko wa Bei na Hisa za Bongo
Jifunze jinsi ma Tycoon wa Bongo wanavyozungusha hisa na je wewe uuze hisa au vipi
https://t.co/qsYrezO2f1
HUU NDIO USAHIHI WA YALIYOJIRI KATIKA MJADALA NA UPIGAJI KURA WA BUNGE LA ULAYA KUHUSU MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TANZANIA NA UMOJA WA ULAYA KWA MWAKA 2026.
Tujiepushe na wanaopotosha kuhusu jambo hili.
#KaziIendelee
Uzi: Hii ndio List ya Laptop ambazo unaweza kuzipata kwa BEI NDOGO sana kuanzia 50,000/= Tu hadi Laki moja na Nusu kutoka Dubai🙌Laptop ya Tatu( 3 ) itakushangaza..
@cz_binance binance doesn’t actually protect you from this
You issue warning messages thats it, “ WARNING IS NOT PROTECTION”
But @VaneNetwork_ actually does protect you by introducing secure interaction channel between sender and receiver. Allowing receiver to confirm ownership of account
And all necessary address and network correctness.
The sender has certainty that the money will go the intended receiver
A simple demo on how I received money to my binance wallet via vane confirmation
Vane Demo
Kuna kitu huwa sielewi.
Kwanini Chuo kikuu @HESLBTanzania wanawakopesha watoto wa maskini wasio na uwezo wa kulipa na
Hawawakopeshi watoto wa matajiri wenye uwezo wa kulipa?
Hii dhana ya MKOPO ikoje?
-Binafsi naona watoto wa maskini wangesoma Bure, wa Matajiri wakopeshwe.
Kwa mahitaji ya Dunia ya leo, kusoma na kuandika haipaswi kuwa moja ya Sifa ya mtu kuwa Mbunge. Walau Shahada ya kwanza ya Chuo Kikuu inaweza kusaidia.
@zittokabwe
Kiujumla pendekezo la kutoza WHT ya 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings ) linaweza kuwa na athari kubwa kwa kampuni ambazo zilikuwa na malengo ya muda mrefu ya uwekezaji.
Nami nashauri liondolewe pamoja na
Kukubaliana na Waziri sio double taxation "kiufundi" lakini sera ina ukakasi kwani inalenga walipakodi walewale ndani ya kampuni yao. Ni high au excessive taxation.
Kwa kuwa tafsiri ya Mapato Yaliyobaki ni faida ambayo kampuni imepata baada ya kulipa kodi ya mapato (corporate income tax kwa sasa 30%), lakini haijagawiwa kwa wanahisa kama gawio (dividends), fedha hizi huwekwa kwa ajili ya kuendeleza shughuli au uwekezaji wa kampuni. Kwa hiyo ukizitoza kodi ya zuio ya 10% kana kwamba ni gawio Athari Zinazowezekana kwa Makampuni ni pamoja na
1.Uwezo wa Uwekezaji Kupungua na motisha ya kampuni kuwekeza faida yake katika kupanua biashara au miradi mipya kutoweka.
2 Kampuni Kuweza Kulazimika Kutoa Gawio Mapema ili kuepuka kodi hii na kuacha ilipwe na mwanahisa, hata kama haikuwa kwenye mpango wao wa kimkakati.
3 Mzigo kwa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) nyingi zinamilikiwa na vijana na wanawake hutegemea retained earnings kwa ukuaji wao. Kodi hii inaweza kuwabana kifedha na kudhoofisha ukuaji wao. Wakawa Wanagawana kila kitu badala ya kuweka akiba na kukuza mtaji.
3 Uwekezaji wa Ndani na wa Kigeni unaweza kuathiriwa ikiwa wawekezaji wataona kuwa faida hazihifadhiwi kwa maendeleo ya kampuni na kukuza mtaji bali zinapunguzwa kwa kodi zaidi ndani ya kampuni.
Kwa kuwa gawio linatozwa kodi ya zuio ya 10% hakuna madhara kulinda uwekezaji ukakua na ukasubiri mwanahisa kulipa kodi hiyo mara tu gawio likifanyika.
Sera nzuri ya kodi sharti kulenga matakwa ya muda mfupi kwa kuongeza makusanyo (mfano kutoza WHTkwenye gawio) huku ikilea ukuaji wa mtaji wa biashara na uzalishaji (kwa kutotoza WHT kwenye retained earnings) .
Kibongobongo utafundishwa sana Business Management au Business Administration
Very rarely utasikia watu wakifundishwa Business Establishment au Business Development
Unawafundisha watu ku- manage biashara ambazo hawana. Mwisho wa siku unatengeneza matapeli tu.
Personally I don't believe in democracy but I believe Africa needs a governance system rooted in the principles of African indigenous spirituality for the betterment and liberation of Africa
https://t.co/iscWp6cw7j ni Open source kama unatafuta kazi, volunteer, influencer gig unaingia tu unasearch kampuni unataka. Itakuletea emails specific za mtu anahusika na kitu unataka kuomba, chukua halafu mtumie EMAIL direct. Emails zinazowekwa kwenye site nyingi hazisomwagi😆