CCM hawawezi kutawala Tanzania bila bunduki kama zamani. Ni lazma wateke wananchi, lazma wauwe wananchi, lazma wawape wananchi kesi za uhaini na ugaidi.
Na utawala wa hivi kwa nchi kama Tanzania utaanguka tu.
@negussie1179104@mangekimambi Swala la msingi, je watanzania wako tayar kupambana? Kama mtu anaminywa hak zake amechoka unadhan atakusubir wewe umsemee? Kwann uhatarishe maisha yako kwa mtu ambaye hana shida na msaada?
Angalia madhara ya mo29 utamshawsh vp raia kupambana na mwenye silaha asiyeogopa chochote?
@negussie1179104@mangekimambi Western country has no help to any Black nations, angalieni ulaya walivyoleta ma balozi yao, utasema sio waliotoa matamko yakutisha, inamaanisha wamejiridhisha Tanzania ina Amani na watanganyika wameridhika na kile kilichotokea 29octoba sasa wewe jichanganye.
@MariaSTsehai This is too poor shangazi, achaneni na wanaowalisha matango pori wanashusha credibility zenu na ndo mana watu wameanza kuchoka na harakati zenu.
Si kila habari lazima uonekane wewe wa kwanza kuijua serikali hii wanajua watoto wa mjini
@Cowwbama Basi nimeamini ulicho comment sio uhalisia wako.
Kikubwa tusiwe wabinafsi kwenye ku judge maadili ya mtu bila kuzingatia mazingira na uhuru wa mtu bila kuadhiri wengine