โผ๏ธREAD LETTER FROM TUNDU LISSUโผ๏ธ
Received from Ukonga Prison - from @TunduALissu
Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa chini ๐๐พ tafsiri isiyo rasmi
Nalaani vikali shambulio dhidi ya Padre Dk. Charles Kitima na kushambuliwa kwa kipigo kikali na kutekwa kwa Mdude Nyagali. Rais Samia na Serikali yake wanahusika na vitendo hivi viovu vya kigaidi. Natoa wito kwa Rais Samia na serikali yake kuhakikisha kuwa Mdude Nyagali anaachiwa mara moja na anapata huduma ya dharura ya matibabu anayohitaji.
Kwa Padre Kitima, namtakia ahueni ya haraka na kumsihi yeye na Maaskofu wa Tanzania kudumisha misimamo yao thabiti na yenye misingi mikuu katika mapambano ya kudai Tanzania ya haki, usawa na demokrasia.
Kwa viongozi wa CHADEMA, wanachama, wapenzi, na wananchi wa Tanzania kwa ujumla, nawaomba kutokata tamaa wala kukatishwa tamaa katika kupigania demokrasia ya nchi yetu. Ninataka wajue kwamba nipo thabiti kabisa na siyumbishwi, na hakuna kuta za gereza zitavunja roho yangu. Ninawapenda wote, na nitarudi.
P.S. Nisipopelekwa kortini Jumanne kama inavyostahili, nitaanza mgomo wa kula."
Tundu Antiphas Mughwai Lissu.
(Gereza la Ukonga).
Huyu ameamka asubuhi, akavaa koti lake alilopewa kwenye mwenge, akaenda shule kulalamika
Unakuta alishangilia pesa za umma kuhongwa uwanjani wakati watoto hata writing board hawana. Wanaandika lenye tope
Pesa za COVID-19 Sh1.3 trilioni na TOZO mlisema mmejenga madarasa? WAPI?
Kwa Watanzania wowote popote ulipo salaam๐ค nawaomba tushirikiane kwa dhati kuendelea kufichua madudu haya chini ya CCm piga picha au rekodi video tutumie ili hatua zichukuliwe kutimiza haki ya watoto wetu #TutaelewanaTu.
Nakala laini kwa waziri wa Tamisemi mama #AngellaKairuki
Hivi watanzania tulilogwa na nani yani anasimama kiongozi anazungumuza upuuzi kama huu na bado tupo kimya
Mbona tunafokewa sana tumekosea wapi miaka 62 bado tupo gizani namna hiii serikali ya @SuluhuSamia inatumia nguvu kubwa sana kuwanyamazisha wananchi walipa kodi wizi huu