@christopherjul8@emabilly2001 Ukimfatilia vizuri hasa anapokuwa host sehem mbalimbali au hata pale kazini kwake na hata anapo fanyiwa mahojiano utangudua kuwa hadi leo ako na TRAUMA
@TriciaAbou Kama unafanya vitu kwa mazoea unategemea nini?
Na yanga na wao watarudia tena kama hiki hio kesho ,
Show kama hizi inatakiwa kila zinapofanyika ziwe na setup zake
Na zisiwe zinajirudia rudia kuanzia namna zinazofanyika , wahusika , stage ,wasanii hadi presenters. TRASH
@maloda_william@japhet_kapinga Nlikuwa nakueka tu sawa hapo kwa barakah debut song ni SIO FINE na sio SIWEZI kama ulivodai wewe ,
Mf wa debut song ni kama hizi
Mo music _basi nenda
Lody music _ kubali
Benson_ hauzimi
Appy_ watu feki Nk.
@RMcleevy@MkulimaKante Hizo apo ni top top mzee japo list haijakamilika , ikisema yamoto basi humo wataingia had kina barakah na mo music , kuna hits nyingi ndio hatukatai ila hizo nlizotaja hapo ni baadhi ya mfano wa MEGA HITS za bongo flava