Former Football Commentator, EX Programs producer at STAR TV,TV1. Dream FM Co founder, EX Manager at Dar24 Media, EX APM at Times FM, EATV&East Africa Radio
#Drive: "Mwanamke ndiyo kipimo cha ustaarabu katika jamii, ukitaka kujua tabia ya watu wa jamii uliyopo angalia tabia za wanawake wanaopatikana katika jamii hiyo: - @abelkilumbu @tinkatukusijanjuzi
#Drive#HainaKuchoka#EastAfricaRadio
Mapema leo nikiwa Eastafrica radio, tafadhali kama hukupata fursa ya kunisikiliza basi ingia YouTube channel yao na usikilize. Mimi Monalisa Joseph Ndala ndie Bibi Titi wa kizazi hichi cha sasa au waweza pia kuniita Bi. Ubwa na historia haitanisahau.โ๏ธ
Katibu wa siasa na Uenezi wa ACT Wazalendo Monalisa Joseph Ndala amemkalia kooni bwana Mpina akipinga kuteuliwa kwake kugombea Urais kwa tiketi ya chama hicho. Leo ametupa mazito yaani zile za ndaaani kabisa ๐ Nasubiri kuona uamuzi wa tume ๐ถโโ๏ธ