@SokoMoko__@privaldinho Walimu wa madrasa wanalipwa we zuzu! Sikuizi Madrasa tunalipia Ada kwa mwezi!
Mlivyo matahila mtu anajitolea kuwatetea muwe mnalipwa,unahamisha mada
@mkainerugaba Nakubashiria mwisho ulio mbaya kabisa kijana! M/mungu hawapendi Waja wenye kibri!
Hakika kiburi chako cha mtu anaelekea kuangamia! Inshallah sisi ni wenye kusubiri!
M/Mungu anaenda kuufuta utawala wenu inshallah!
acha kiburi muogope M/mungu.