A man of the sea, weathered by time and tide.
His gaze stretches beyond the horizon, where freedom lives and the soul feels at home.
Every wrinkle tells a story, every wave sings a song he knows by heart. This isn't just a place
—it's his destiny.
⚓️
@BaricKGL Ratco tokea miaka mingi ndio utaratibu wao hata Tanga wanachukua abiria Tanga Mjini kuwapeleka Kange Stand. kwahiyo huu utaratibu kwao sio mgeni wana EICHER zao kabisa ndio kama shuttle
Yan kabla ya mwaka 1961 kuna mwamba alishakuwa na PHD tayali..
Wakati huo wachaga lundo wana master.
Hizo bachelor kama utitili.
Wakati huo sisi pale Nyasa tuna Mwanaume wakauitwa Oscar Kambona kaenda kuoa Uchagani na kufunga ndoa mambele 😅🙌
Tusiache kujifunza kwa walio Tangulia ila kwa Wachaga ni kujiumiza kamwe hatuwezi kufanana nao.