@MrDepalitto7 Pearly penile papules (PPP) ni vipele
vidogo vidogo , visivyokuwa na madhara, huundwa kwenye kamba ya kichwa cha uume, ambayo ni ncha yenye umbo la mviringo ya uume. Kawaida huonekana kwa safu karibu na mzunguko wa kichwa cha uume ,huwa kwa vijana wadogo 15-30,,
CODE YA LEO: Hii Ni zaidi ya Viagra Tumia dk 45 kabla ya Game ๐๐ฆ
Karanga + Almonds + Korosho + Tende + Ndizi Mbivu + Maziwa Fresh na Asili mbili.
Kijana Unaejitfuta,
Kila siku hakikisha unakuwa na
maeneo 3 ya kujifunza:
1. Linalokupa pesa
2. Unalopenda kufanya
3. Linalokukuza na kukupa thamani
Ukibalance haya 3.
Umetengeneza dunia yako ya uhuru wa kifedha na kimaisha.
Ili kujenga tabia za mafanikio
Unahitaji Mambo makuu 5:
1. Kuwa na kusudi - DIRA
2. Kuwa na malengo - RAMANI
3. Kuwa na Ratiba - SHERIA
4. Kuwa na mifumo - MIKATABA
5. Nidhamu - DINI
Ukiishi humo kutoboa ni suala la muda tu.
#SIKU100ZAUHURU
Unajitafuta Kimasha ?
Jenga Hizi Tabia
(Usipuuze hata moja)
Usingie kwenye mausiano kama maisha yako ni mabovu kifedha, umbo lako lipo ovyo, unamatizo.Tengeneza maisha yako kwanza.
Jiwekee utaratibu.
Lala saa 11:00PM na amka saa 5:00AM kila siku.
Fanya mazoezi kila siku.
Piga push up 100 na squats 100 kila siku, utakua tofauti na 97% ya watu wenye afya mogogoro.
Tengeneza nidhamu ya kuoga maji ya baridi kila asubuhi unapo amka.
Tumia dakika 60 kila siku kujifunza, kusoma, kuandika na kuandika mipango.
Wajibika 100% kwenye maisha yako.
Hakuna mtu wakukusaidi kuhusu maisha yako. Usilaumu mazingira au mtu yeyote.
Jifunze ujuzi utakao kuwa unakuingizia $500-$1500 kila mwezi.
Ifanye internet na mitandao ya kijamii iwe chanzo cha kipato chako.Mtandaoni kuna furusa zaidi million 1
Kula vizuri, ikiwemo matunda, virutubisho, maji litre 3 kwa siku, jali afya yako.
Afya ndio mtaji namba 1.
Wekeza kwenye kabati lako.
Jenga muonekano wako, vaa vizuri, nunua suti, viatu vizuri na smart casual,Usisahau kunukia, saa kali,Utakua tofauti na 97% ya vijana wanaitwa " Vijana wa hovyo".
Tenga muda wakutembea kwa miguu maeneo mbali mbali atleast hatua 10000 kwa siku.
Itakusaidia ku bost mood yakufanya kazi, kufiri kwa kina na kua mbunifu.
Men who prioritise getting in shape, making money, and honing their skills rarely have time to be depressed.
If you're still in your 20s and 30s, read this...