Rare diseases may be uncommon, but the people who live with them are extraordinary. They face challenges and struggles that most of us can't even imagine, but they do so with courage, strength, and determination.
#rarediseases#rarediseaseday#isupportra…https://t.co/RqlTVGPIuB
Kwenye uzinduzi wa Miongozo ya Elimu Maalumu na Jumuishi.
"Kama elimu inaweza patikana chini ya muembe kwanini isiwe na nyumbani" Balozi Togolani Mavura
@tonytogolani
Mheshimiwa Prof. Mkenda, wewe ni kati ya mashujaa uliewezesha watoto wote ambao hawakuweza kupata elimu kutokana na kushindwa kufika mashuleni, leo wanapata fursa sawa na wenzao wanaohidhuria shuleni. Ahsanteni wote pamoja na watumishi wote wa wizara.
Wait! Mtu MWEUSI angevaa pampasi, na sisi WEUSI tungetoka kulalamika Simba waombe radhi? WHITE huyo ni muigizaji, hakulazimishwa, alikuwa kazini katika utafutaji maokoto. TAS na LHRC mlitakaje? WHITE akose pesa ya mboga? Mnashindwa kulaani bandari zinauzwa, mnalalamika ujinga.
Unapofurahia moshi wa shisha, kumbuka unapovuta huo moshi kwa dakika sitini ni sawa na kuvuta sigara 100.
…ukikaaa kwenye kijiwe cha shisha, kumbuka na wewe unavuta hata kama huna paipu mdomoni..
Second, third and fourth hand smoking!!
@ZakayoMmbaga
Kumbusu
Yakuhusu
Nini?
Picha kuisambaza
Na sauti kupaza
Ni tendo la kilaza
Kumbusu
Yakuhusu
Nini?
Na watoaji povu
Kwa kweli ni wachovu
Kumbusu si utovu
Kumbusu
Yakuhusu
Nini?
Hey everyone, just wanted to give you an update on what's been going on lately. My lupus flares have been making life a bit more challenging, but I refuse to let it stop me from accomplishing my dreams! 💪🏼
Remember, setbacks are just temporary roadblocks, not the end of the journey. I'm grateful for the support I have from my loved ones, lupus community (@lupuswarriorstz ) and all of you who continue to inspire me. Your kind words and encouragement mean the world to me! 🙏🏼
I extend my heartfelt appreciation for being featured in #MeetTheFellowWednedday and for all the positive feedback I have received. It encourages me to continue working hard and striving for positive change. I am honored to be part of the #EAEPIAPCohort4…https://t.co/4CNFB3sBAo
Ahsante sana Balozi @tonytogolani kwa jitihada kubwa unazofanya juu ya kubadilisha mustakabali wa waishio na #MagonjwaAdimu
Unaendelea kuwainua na kuwapigania kina Ali na wenziwe. Thank you
This month, we shed light on their journey, challenges, and resilience. Together, let's support, educate, and advocate for a better future. #LetsTalkLupus 💪💜
Even though Lupus Awareness Month has come to an end, our fight against Lupus continues every day. Together, let's keep spreading awareness, advocating for better treatments, and supporting each other on this journey.
#LupusAwarenessMonth#lupusawareness@lupuswarriorstz
UGONJWA WA LUPUS: Siku ya Lupus Duniani iliasisiwa na Lupus Canada ambalo ni Shirikisho la Wagonjwa Wanaoishi na Ugonjwa wa Lupus Nchini #Canada Mwaka 2004, na huadhimishwa kila tarehe 10 Mei kila mwaka huku Mei ukitumika kama Mwezi wa kutoa Elimu juu ya ugonjwa huo
#LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace
Nchini #Tanzania Siku ya Lupus Duniani ilianza kuadhimishwa Mwaka 2021 na maadhimisho haya yalifanyika katika Chuo Kikuu Cha Afya Muhimbili (#MUHAS) kwa miaka miwili ya awali, maadhimisho ya Mwaka 2023 yamefanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
#LupusAwareness#LupusMonth #JFLupusSpace
Lupus Warriors Tanzania, Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na JamiiForums wameandaa Mjadala na Wataalamu kupitia TwitterSpace kuhusu Ugonjwa huo, Mei 31, 2023, kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku
#LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace #JamiiForums
DKT. FRANCIS FURIA (Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo na Rheumatism MNH na Profesa wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili): Lupus ni ugonjwa unaoathiri viungo vya mwili kutokana na mashambulizi ya mfumo wa kinga ya mwili kwa viungo ikiwemo, hali hiyo inasababisha hitilafu mwilini na inaweza kuathirika ngozi, moyo, figo, mapafu, mfumo wa fahamu, damu na misuli
Mgonjwa anaweza kupata athari kwenye mfumo zaidi ya mmoja au mifumo yote ya mwili kuathirika
#LupusAwareness #LupusMonth #JFLupusSpace #JamiiForums