@Bhyera@Sisimizi3 Sasa mashekhe wanaingiaje apo? Hapo ndo mnapofeli wangese nyinyi mtu akizingua mnaanza kutukana mashekhe na waislam bila kujali aliyewazingua wadini gani ni dhahiri vita yenu imekaa kidini na chuki
@YLonje@SimbaSCTanzania Huna akili wewe ndomana utopolo CAF hawawezi kuipangia tu uwanja wa kucheza mechi ya nyumbani vinginevyo huo uwanja wao uwe haujakidhi vigezo
@Arnold99460204@fbuyobe Hatusemi chuki ila hii story ya uongo sababu huyo aliyemuweka pichani wanaomjua wanasema yupo mpk leo huyo aliyekua na hizo skendo mwingine sio huyu
@fbuyobe Hivi kweli Iran na Kuwait waamue kudhamini kikundi cha ugaidi hapa tz alafu ndo kizimwe kirahisi ivo? Acha story zako za uwongo ndezi we huko kwenye nchi zenye nguvu kuna vikundi mpk leo wanahangaika navyo