JUST IN:🇮🇷 🚨
#Iran has launched a massive attack on the Abraham Lincoln aircraft. this is clearly visible in the footage. X Twitter don't remove my video.
🇮🇷🇺🇸🇮🇱🇸🇦🇦🇪🔥Iran's recently home-made 'Noor-series' satellite helps Iranian IRGC to capture images of areas including US and allied bases before missiles or drone launches toward US bases.
🚨has still Russia/China helped iran to bomb US bases?
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kimefanikiwa kukusanya jumla ya Shilingi milioni 239.5 kupitia kampeni ya uchangishaji fedha kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma, huku kikibakiza Shilingi milioni 94.5 pekee kufikia lengo la Shilingi milioni 334.
Kupitia taarifa iliyochapishwa asubuhi ya leo Jumanne Julai 28, 2026 kwenye kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za chama hicho, CHADEMA kiliwashukuru Watanzania kwa mwitikio mkubwa wa kuchangia, kikieleza kuwa kasi ya michango inaendelea kuongezeka.
Katika taarifa hiyo, chama kiliendelea kuhamasisha wananchi kuendelea kuchangia kupitia akaunti ya M-Pesa yenye namba 0744446969, iliyosajiliwa kwa jina la CHADEMA HQ, ili kuhakikisha lengo lililowekwa linafikiwa.
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa, chama tayari kimekusanya takribani asilimia 71.7 ya fedha zote zinazohitajika, hatua inayobakiza karibu asilimia 28.3 pekee kufikia lengo la kampeni hiyo.
Mwenendo wa uchangishaji unaonyesha kuwa kampeni imepata mwitikio mkubwa kutoka kwa wafuasi na wadau wa chama. Kufikiwa kwa zaidi ya theluthi mbili ya lengo kabla ya kukamilika kwa kampeni ni dalili kwamba wito wa chama umepokelewa na sehemu kubwa ya wafuasi wake.
Hamasa inayoonekana kwenye mitandao ya kijamii, pamoja na ujumbe wa mara kwa mara wa kutoa mrejesho wa kiasi kilichokusanywa na kilichobaki, ni mbinu inayoweza kuongeza imani kwa wachangiaji na kuwahamasisha wengine kushiriki. Utoaji wa taarifa za maendeleo ya uchangishaji huongeza uwazi na husaidia kujenga hisia kwamba kila mchango unaongeza hatua kuelekea kufikia lengo.
Hata hivyo, bila taarifa rasmi ya tarehe ambayo kampeni hii ilianza, haiwezekani kuthibitisha kwa usahihi ni siku ngapi zimepita tangu uchangishaji huo uanze. Endapo tarehe rasmi ya uzinduzi itapatikana, ndipo idadi ya siku inaweza kuhesabiwa kwa usahihi.
JUST IN🇺🇸🌎🔥 Global Debt has reached $353 trillion dollar (a sudden $8 trillion growth in just 1 year) amid US-Iran and Ukraine war.
🚨Iran, China and Russia are become world’s most debt-free countries while Western countries are suffering huge rise in debts.
Kwenye post za hili tamko la leo kuhusu wa 🇹🇿 pambanieni katiba.
Comments nyingi zinasema
-Huyu anatufaa anaongea lugha yetu.
-Anavyoongea kwa upole hadi raha
-Huyu anaonekana ana huruma na wananchi
-Mzee kanyooka sana anatufaa!!
Kiukweli mitanzania ni mibumunda sana, rahisi kweli kuichota akili 🚮
aaaf inasahau haraka!!
Inasahau kuwa kila aliyekuja kuwa miyeyusho alianza kwa lugha tamu hizo hizo!!
Mimi nitakuwa wa mwisho kumuamini whoever anayetoka upande ule wa vegetables.
Ni kweli VICEnt seems like a good man, tatizo anaongelea akiwa wapi!!
Mimi moyo wangu umekuwa mzito sana kuwaamini hawa……
Makamu wa Rais wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka watanzania kuongeza juhudi kupambania katiba mpya katika wakati huu ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha nia ya dhati ya kuitaka.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa huu ni wakati sahihi kwani Rais anayefuata huenda asiitake katiba mpya(kama haijapatikana) kutokana na hii iliyopo kuwa inampa mamlaka makubwa.
Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema hayo leo Julai 24, 2026 akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania @thrdcoalition unaofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
🇨🇳🇺🇸🇸🇦🔥 China says, it Is closely following the situation in the Red Sea amid the Houthi-Declared ‘Maritime Embargo On Saudi’ vessels and continued Saudi-Houthis conflicts in the Middle East.
🚨China called for respect for regional sovereignty and security, protection of international waterways, restraint, dialogue, and de-escalation to restore peace.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. EMMANUEL NCHIMBI ndiye KIONGOZI PEKEE DUNIANI kwa sasa , ambaye kwa MANENO na MATENDO yake, HAJALI TUMBO LAKE, bali NCHI YAKE.👇
🇺🇸🇸🇦💥Trump has agreed to allow Saudi Arabia to enrich Uranium under civilian nuclear cooperation.
🇸🇦🇨🇳🔥China-Saudi joint research discovered potentially 90,000 tonnes of uranium deposits in 2019.
🚨Saudi Arabia has world's 20th largest Uranium Deposits by 2026.
. “Harakati Si za Mtu Mmoja, Ni Zetu Sote.”
Usikae benchi ukisubiri wengine wapambane. Ukiamini mabadiliko, ingia uwanjani. Kiasi chochote unachochangia kinaongeza nguvu ya harakati.
M-PESA: CHADEMA HQ – 0744446969
NMB: 226066001
Utasikia, “Mheshimiwa, tuko pamoja” Kama maneno haya yangekuwa vitendo, CHADEMA ingekusanya Bilioni 1 ndani ya masaa 12.
Bilioni 1 ni watu 500,000 wakitoa Sh 2,000 kila mmoja; watu 100,000 wakitoa Sh 10,000 kila mmoja; au watu 100 tu wakitoa Sh Milioni 1 kila mmoja. Tusiruhusu maadui zetu watucheke. Tusimame kwa vitendo, si kwa maneno pekee.
Tukiamua, tunaweza kukusanya hata Bilioni 10 ndani ya wiki moja. Impossible is Nothing.
M-PESA: CHADEMA HQ – 0744 446 969
CHADEMA NMB: 22606600140
🏴🚨 Former England players' statements ahead of England vs Argentina World Cup semi-final:
🚨🗣️ Ian Wright: "I don't fear Argentina like I'd fear France or Spain, because I think there are a lot of fallacies with them..."
🚨🗣️ John Terry: "If I’m being honest Argentina don’t worry me. I don’t look at Argentina and think they’re better than us. Player for player, I think we’re better than Argentina."
🚨🗣️ Gary Neville: "With the centre backs they have, I can’t see us not scoring at least two goals."
🚨🗣️ Joe Cole: "We're going to have to put Messi to sleep. We're going to put him to sleep. I'm saying it now, we're going to reach the World Cup final."
England ended up losing to Argentina. ❌