@Big0047 Hii kitaa cha kwa aziz Ali siku iliwa zamu ya usafi inabidi saa 10 alfajir uamke upige deki,uki import mzigo ni saa 11 alfajiri unatoa saa tano watu wamelala
@mustaphakinkula@YangaToTFans Hiyo mechi Waziri Maadhi alitia mua mmoja goli la kwanza pale hadi uwanja mzima ulinyanyuka hadi wale mikia,hadi golani,watu wa kirumba golani wanapajua
@JemsiMunisi @Rungekuta69@yangasc1935@NesiMkunga Hiyo mechi walikuwa wanacheza na Ajax Amsterdam nakumbuka,kuna mechi kabla alipiga kona akawahi akaiunga na kichwa kona yake mwenyewe,kifupi jamaa wa lamasia wanajuta kumuuza