@MsigwaPeter Mh Msingwa mimi ninakukubali sana nilipata tabu sana ulipoenda ccm lakini kuna siku nilimuambia mke wangu msigwa ninaemjua mimi atarudi kwenye haki na umerudi kaka mungu akulinde na majanga piga kazi kaka
@privaldinho Kwa hili mimi siwachi bure jumatatu naenda caf kufungua kesi zidi ya yanga na hii kesi mwanasheria wangu kashapia vifungu vya sheria vya caf kaniambia tunashinda jiandani