"Ule Uwanja ni wa Azam FC, Simba SC tutakwenda kucheza pale kutaka matokeo tu, amecheza nani, ameutumia nani hilo halitupi wasiwasi. Ule uwanja sio wa nyuma mwiko, sisi tutacheza na tutaingia hatua ya makundi. Wala mashabiki wasiwe na mashaka hata kidogo."- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
TABORA: Watu 28 wanashikiliwa kwa mahojiano na Jeshi la Polisi mkoani humo wakituhumiwa kuvamia na kuchoma Moto Kituo kidogo cha Polisi Kitunda mnamo Septemba 18, 2023 kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi
-
Kamanda wa Polisi Mkoa, Richard Abwao ameithibitishia JamiiForums na kueleza βTaarifa ni za kweli na hakuna madhara yoyote yaliyotokea kwa Binadamu. Nipo katika shughuli za Mwenge siwezi kutoa taarifa kamili lakini Watuhumiwa wanaendelea kuhojiwa, pia upelelezi unaendelea."
Soma https://t.co/YZ3VYTE7Zj
#JFMatukio #JamiiForums