@MsigwaPeter Hakika karibu tena mkuu. Nilijua tu wana wa Nuru hawawezi kamwe kujificha katika giza wasionekane. Hata kama nuru yao itafifishwa lakini haitaacha kuangaza. Wewe ni mwana na Nuru simama juu ya Kiango umulike giza liondoke. Karibu tena nyumbani.
@Innocen89950594@HecheJohn@prossoff Imani hii si tu imeanza mwaka jana. Ilianza tangu 1995 wakati wa akina Dr. Slaa. Kwa wageni ndani ya chama wanaona kama kimeanza mwaka jana. Tuendelee kuchangia na kukiwezesha chama kifedha ili kufikia malengo ya kushika hatamu.
Nakuomba kesho ukiwa na nafasi nenda kanisa lolote la Roman Catholic ambalo lipo karibu na wewe katoe sadaka kwa kadri ulivojaliwa na Mungu maana hawa watu ni moja kati ya watu ambao huwa wanasimama na Wananchi daily, hawajawai kutusaliti hata dakika moja.
Sehemu ya Mahubiri Kardinali Pengo katika Misa ya Mazishi ya Hayati Julius K. Nyerere mwaka 1999 Katika kanisa la Mtakatifu Joseph.
Pumzika kwa amani Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo.
@MK47TA Kwani shida yenu maccm ikowapi? Hukumu inaweza kuchelewa na mkamfunga kwa kuwa ndio nia yenu. Chadema kutaka hukumu itoke haraka kama atafungwa si matakwa yenu maccm yatakua yametia pia? Makelele ya nini? Kama mnampenda si aachiliwe? Sisi tunataka kes iishe haraka na hukumu itoke
@JamiiForums Huwa wanaanza hivi hivi na baadae wanaleta katiba ya mfukoni kama walivyoleta sheria ya vyama vya siasa na tume ya uchaguzi wakadai reforms zilishafanyika na wapinzani walishiriki. Kama wanakiri uchaguzi ukikua huru basi, Hakuna lolote jema linaloweza kutoka @ccm_tanzania