@Roma_Mkatoliki Haki ni lazima, ila ilikua jambo dogo kuendelea na life ila other pipo wanatoa energy kubwa kwa mpira na matamasha ya wasanii kama hawaoni yanayotusibu ugumu wa maisha, utekaj+ mauaji kikatili,ufisad wa kutisha, wizi wa uchaguz nk TUWE KITU KIMOJA TUACHE **ENGE !!!?
@mangekimambi Dada ππ₯ Mungu asikuyime hitaji lolote la moyo wako.
@ChademaTZ2 ole wenu yaan hatutaelewan na tutawachukia zaid ya hao wauwaji waporaji wanaharam ccm na genge lao π€¨