Amkeniii! Kuna lobby group nyingine Farrant group inaripotiwa kuwa inalipwa kodi zetu kumsafisha Mwuaji Mkuu Samia Suluhu na genge lake!
Wanapoteza pesa zetu bure maana mauaji halaiki hayafichiki! Utetezi wao ni wa kipumbavu na inatia wafadhili kichefuchefu
Sasa mmemwaga ma dollar na euros kujisafisha - hazina imekauka hadi watumishi wa umma mmeshindwa kuwalipa mishahara, wakandarasi wamekwama! Hali tete! Kisa Bi Kizimkazi awe rais! Really!?
Ndo maana nawaambia #SamiaMustGo hakuna namna - damu za ndugu zetu hazitatulia zinadai HAKI!
Na nyie wazalendo ndani ya mfumo endeleeni kuangalia tu - nchi ita collapse hii! Ohoo!
#TutaelewanaTu
Our EU friends, Thabit Kombo & the likes, stroll your streets, send their kids to your fine schools, use your facilities for propaganda. Yet Tanzanians bask in poverty while they swim in glory. @davidmcallister, @Europarl_EN. Why can’t you sanction this evil regime?
Roho imeniuma, nimebaki nalia tu….
Hapana aiseee…, @SuluhuSamia@jmkikwete@ccm_tanzania Wapeni wamama miili ya watoto wao wazike. Mlificha na kupoteza miili mkidhani mnaficha ushahidi ila wale marehemu sio mbwa, wana familia zao, wana mama zao, ndio kama hivi mama zao wanalilia miili yao.
Mtalipia damu mlizomwaga October 29….
Amri ya Patrobas Katambi kuzuia mikutano na shughuli za kisiasa ni batili na haitekelezeki. Amri hiyo inapaswa kupuuzwa na kutendewa kama tamko la mtu mwendawazimu. Taifa letu siyo ghetto la mbogamboga, kwamba wataamua haki zipi tufurahie na zipi ziwe hisani. Aluta continua!
Hakuna cha kusini wala Kaskazini tena, nchi nzima iko nyuma ya Chadema. Hiki ndio chama kikuu cha siasa Tanzania kwa sasa.
Baada ya October 29 hakuna Mtanzania anataka kusikia kuhusu CCM tena. October 29 CCM wali prove kuwa hawajali kuhusu uhai wa wananchi, wanachojali ni kundi dogo ndani ya CCM kushikilia madaraka at any cost.
Hatuko hapa kukatishana tamaa ila tunaambiana ukweli.
Nilichoona juzi na jana baada ya posti yangu ni kwamba kuna watu wengu walidhani sisi wanaharakati tuna belong kwa chama flani, hapana, most of us hatupo na chama chochote, sisi tuko na wananchi.
So, kama jinsi tunavyowakalia kooni CCM bila uwoga wowote na Chadema pia tukiwa na wasiwasi nao tunaongea vile vile…..
Don’t get it twisted, we are not loyal to any party, we are only loyal to the people.
Na tunaongea coz we want the best for opposition sababu a strong opposition is good for the public, hatutaki tufike December tuwaulize wameachieve nini mwaka mzima, alafu jibu liwe ni picha za nyomi. We want concrete results!!!!!!
‼️🚨HALI MBAYA SANA NI MWENDO WA KUWINDANA🚨‼️
Oktoba 2025 imeacha makovu hadi ndani ya mfumo wa ulinzi na usalama! Maumivu ni makali sana!
Kuna incident baadhi yetu tulisikia ilitokea ila leo ndo kuna details zaidi! Kuna mtu alitaka kupata revenge ya ndugu yake! Sasa najiuliza unaishi kama digidigii huku unajiita Rais wa kujipachika! Hujui anayekuchekea ana nini moyoni! Hii dhambi ya kumwaga damu ni mbaya sana! Na huwa mwisho wa mtu aliyemwaga damu si nzuri!
Hata upange upangue vipi! Hatma yako imeshaandikwa - tukumbuke kisa cha Indira Gandhi na alivyouwawa!
Ushauri mzuri ni kuondoka na si kusubiri kufukuzwa
#SamiaMustGo #TutaelewanaTu
Many thanks to you @rodneycloete and the @IPC Party for your unwavering support and solidarity with the people of Tanzania during this difficult chapter in our country's political history. We are deeply grateful to the people of Namibia for consistently standing with Tanzanians in their pursuit of justice, democracy, and human dignity. Your party’s statement is a powerful testament to that enduring solidarity and commitment to the values that unite our peoples. #FreeTunduLissu #SamiaMustGo @NamPresidency@SADC_News@ECN_Namibia@HecheJohn
@NNNandiNdaitwah