@igemoyaba@ccm_tanzania Kweli Rais wetu ni mfano wa kuigwa katika uchapa kazi kwa ujumla,hana mpinzani kwa zama zetu hizi,ikibidi aongzewe miaka 10 zaidi baada ya 2025.Kila jambo linawezeka Watanzania wakiamua
@PatricOleSosopi Ndugu kama wamekosea kwenye maudhui hayo ya picha wafanyeje? Hiyo ni Dar ferry 2019, wao wakasema ni Chato 2020. Kuwa na akili basi walau kidogo ndugu
Ujumbe huu uwafikie @ChademaTz@bavicha_taifa@ACTwazalendo na vyama vyote vya upinzani Tanzania sio kuisimanga Serikali muwe na muda wa kujitahmini pia.
Hizo Ni ofisi za Chama Cha Siasa cha @JubileePartyK Nchini Kenya! Chama Kilianzishwa Mwaka 2016 .
Kuna haja kubwa ya vyama vyetu vya upinzani kujifunza kutoka nchini Kenya.
@bbcswahili Yani kenya wameongeza 11 na kufikia 203 ila kaandika kenya wamepona 20 huku habari ya Wagonjwa Tanzania kuongezeka imerudiwa mara nyjngi sana...Mkenya huyu...Kwanza bbc imejaa wakenya tu...