Umri sio kigezo cha mtu kukua, Mtu aliyekua ni yule anayejua lipi la kufanya na lipi si kulafanya(dos and donts). Na ni ngumu kujua hivo kama Haujamjua Mungu. Naweza nikahitimisha kwa kusema level uliyonayo katika kumjua Mungu ndio ukubwa wako #Barikiwa
Kipekee napenda kushukuru sana MUNGU ambaye anatuweza kuyafanya mambo ambayo hatuyawezi lakini YEYE anatuwezesha!!
Leo tumehitimisha semina yetu kwa Mkoa wa Dar ambayo ilikuwa ikifanyikia Tanzanite Park, Victoria. Na kufanikisha kutoa elimu kwa vijana zaidi ya 158.
Pia nipende kumshukuru sana Mh. @jokateM kwa Mchango wake ambao aliwezesha semina hii kufanyika na kuwafanya vijana wengi zaidi kuhudhuria.
Nipende kuwashukuru sana wawezeshaji wetu kwa Muda wao wa thamani ambao waliweza kufika na kutoa Madini ya Gharama kubwa sana lakini Bure. Shukrani hizi ziwafikie @GillsaInt , @JustTherapies na @Millambo_
Mungu awabariki sana 🙏🏾
Lakini niwashukuru sana wadau ambao wametushika mkono. #Hisense, #Hashtech, #NewtonLab
Bila kusahau timu ya maandalizi tulioshirikiana kuanzia mwanzo Hadi mwisho ikisaidiana na Staff wangu wa @ebdigitaltec. Mungu awabariki sana 🙏🏾
Mwisho kabisa niwashukuru Wahudhuriaji wote mliopata nafasi ya kuhudhuria ktk Workshop Training yetu. Ni Imani yangu Yale mliyofundishwa yanaenda kuleta matunda.
IRINGA GET READY, SEE YOU ON 18th OCTOBER (Next Friday)
#MonetizeYourTalent
#GrowYourCareer
Je wajua
Jina “Vision Empire” linaweza kuwa na maana nyingi, lakini kwa kawaida linaashiria dira na malengo makubwa. “Vision” inamaanisha kuwa na mtazamo wa mbali na malengo ya muda mrefu, wakati “Empire” inamaanisha ufalme au utawala mkubwa.