@mangekimambi@InexorablesoG@nchimbie Nchimbi ni sehemu kubwa ya UOVU wa Chama Cha Mauaji (CCM) kwa maelfu ya Watanzania waliotekwa, walioptezwa, kuteswa, kubambikiwa kesi na kuuawa kwa kutumia haki yao ya kikatiba kudai mabadiliko ikiwemo katiba mpya. Nchimbi kauli yako ni dharau na dhihaka kwa Mungu na Watanzania
@mangekimambi@mhabukat Watu wengi hawafahamu hiyo ya Chadema. Kuthibitisha hilo ndio maana tayari kuna watu walikutumia michango yao. Kuna watu wengi ambao sio wanaChadema hivyo hawafuatilii mitandao yao na kujua kinachoendelea ila wapo tayari kuchangi. Nashauri pia wewe uendelee kupokea michango dada
@John_Pambalu Mimi napata sana shida kukubaliana na hawa wasaliti maana ndio waliosababisha Mh Lissu kubambikiwa kesi ya uhaini. Mkutano aliofanya nao kujaribu kuwashawishi wasiondoke CHADEMA ndio maccm walitumia kumkamata na kumfungulia kesi. Na hapo aliacha mikutano ya hadhara kwa ajili yao
@EduTalkTz Wauaji waliandaa report ya Chande kusema kuna watu walifadhiliwa kisha wanakujaa kuandaa huu upupu ili kuendana na mipango yao. Damu za watu zitawatafuna na vizazi vyenu vyote
@mwananchidr CCM wote ni wahusika na wanahitaji adhabu kali wakunyongwa wanyongwe wakufungwa maisha wafungwe. Wee jamaa unataka kukimbia umwache Samia mwenyewe nooo hata wewe umo ndani